Wami haina changamoto kivile.
Unaseeemaaa[emoji3517]Wami haina changamoto kivile.
ndio hivyo.Unaseeemaaa[emoji3517]
Duh, sadWami kuna lori lilipiga mbizi pale juzi mamba wakafanya yao.
Pale kwa dereva mzoefu wa njia hakuna changamoto sana. Kikubwa ni ku-control speed. Na miguu ya gari iwe vizuri.
Naona leo hujacomment kisisiem Teh Teh Teh Teh Teh Teh Teh Teh tehHapatabiriki pale Mzee