Mzukulu
JF-Expert Member
- Feb 14, 2020
- 1,401
- 2,641
Na kama haitoshi kuna Abiria wengine mkiwa mnayakaribia tu hayo Maeneo tajwa Mawili Maandiko ya Vitabu vya Dini vya Biblia Takatifu na Quran Tukufu huwa wanayakumbuka na pia wanajua mno Kuyadadavua kwa mapana yake.
Na kinachonishangaza sana mkiyapita tu hayo Maeneo utaona Abiria wote ndani ya Mabasi Nyuso zao zinaanza kurejea katika Ujeuri ule wa Mwanadamu halisi.
Na kinachonishangaza sana mkiyapita tu hayo Maeneo utaona Abiria wote ndani ya Mabasi Nyuso zao zinaanza kurejea katika Ujeuri ule wa Mwanadamu halisi.