Kwanini Abiria wengi wa Mabasi ya Mikoani wakifika maeneo ya Mto Wami na Milima ya Kitonga Nyuso zao huwa ni za Huruma sana?

Hivi mamba pale wami wanafanta nini au nikivutio, watolewe pale haraka

Wanatega Mingo mno pale kwakuwa wanajua kuwa angalau ndani ya Wiki kuna Madereva Wapumbavu watayadumbukiza mule Magari yao Ndugu.
 
Wami inatakiwa gari zipite kwa tahadhari kubwa, madereva hutumia kigezo cha ubora wa gari kushuka au kupanda kwa speed.

Daraja jipya litakuwa limeokoa ajali nyingi zisitokee.
 
Juzi kuna Lori limezama hapo na inavyosemekana ( sijathibitisha ) ni kwamba Miili ya Dereva na Utingo imeshaishia ndani ya Midomo ya Mamba.
Tingo wawili wamenusurika kifo ila wamepata majeraha makubwa. Dereva ndio kafariki, na mwili wake umeopolewa. Alikuwa kabanwa ndani ya cabin.
 
Hayo ndio milango ya kuzimu ilipo so hofu huwa ni Leo zamu ya nani
 
Kwa technology ya kisasa ya ujenzi hayo maeneo si hatarishi tena Kama ccm ikiamua sema tu inatumia Kodi na nguvu kubwa kumshughulikia mbowe kuliko kujali uhai na usalama wetu.
 
Kwa technology ya kisasa ya ujenzi hayo maeneo si hatarishi tena Kama ccm ikiamua sema tu inatumia Kodi na nguvu kubwa kumshughulikia mbowe kuliko kujali uhai na usalama wetu.
Huna unalolijua nyumbu fc kaa na malalamiko yako kama mtoto wa kambo
 
Mwambie tanzania nzima hakuna Mto ambao una Historia ya Magari Kuzama na Kuonekana tena kama huo Mto Wami ambao Unadharaulika mno.
Kuzama na kuonekana tena?? Hebu fafanua vizuri mkuu au ulimaanisha kutoonekana tena?? Binafsi natamani niijue vizuri historia ya huo mto aisee
 
Upo darasa la ngapi
Mimi nimepita form six aliyoishia dj mbowe....to shortening the story maana naona kama unataka kupata kiki kupitia mimi,

daraja jipya linajengwa na limefikia asilmia 50 ya ujenzi nyie endeleeni kutengeneza sinema wenzenu wanafanya majambo na watanzania wanaona.
 
Weka na kapicha tuwaone
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…