Kwanini Abiria wengi wa Mabasi ya Mikoani wakifika maeneo ya Mto Wami na Milima ya Kitonga Nyuso zao huwa ni za Huruma sana?

@GENTAMYCINE unaitwa huku
Mkuu unapenda kushuhudia live vita vya majimaji jinsi vilivyopoteza wagonjwa wa korona baada ya wamachinga wa kariakoo walivyo mshangilia christiano ronaldo alivyoingia bungeni kwenda kununua samaki pale mahakama ya kisutu sio?
 
Mambo ni mengi
 
Njoo ziwa Rukwa ukutane na changamoto za hiyo milimani, ukiwa unapandisha mwenzio anashuka unaona difu dadeki
 
wakati wewe unawaangalia ulikuwa na nyuso gani..na ni kwa nini uwaangalie??
 
Labda nina roho ya peke yangu huwa napita pale Night Kali na hata sipati wasiwasi
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Utafiti wako Ni balaa
 
Write your reply...Labda Wami lakini Kitonga watu wameizoea mno magari yanapishana na kuovertake kama kawa kwa spidi wanayotoka nayo huko huko juu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…