Infantry Soldier
JF-Expert Member
- Feb 18, 2012
- 15,892
- 16,476
- Thread starter
-
- #21
Sawa mkuu. Asante kwa ufafanuzi wako. Mbona vyeti vya RITA havipelekwi kwa wataalam hawa wa sheria?...Kwa mwanasheria unakwenda kupata uhalali ya kuwa kivuli ulichonacho kimetokana na original document ambayo mwanasheria ameiona na kuthibitisha.
Labda RITAwanafikiri wana capacity lakini kama kuhakiki kunaingiza pesa inawezekana RITA katika kutunga sheria inayo waweka duniani wameona kuna haja ya kupata hela hiyo basi wakaweka hicho kipengele.Sawa mkuu. Asante kwa ufafanuzi wako. Mbona vyeti vya RITA havipelekwi kwa wataalam hawa wa sheria?...
Okay mkuu...Issue hapa ni kwamba kwa mafunzo yao na viapo vyao hatutegemei kwamba watakuwa wadanganyifu. Lugha sahihi ni kupata certified copies.
RITA wana issue vyeti pamoja na kufanya verification.Wanachofanya wanasheria ni kuverify copy from original document na sio ku issue hivyo vyeti.
Na hata hicho cheti cha kuzaliwa km ni copy utaverify kwao sio RITA kama unavyodai.
Niko tayari kusahihishwa .
RITA wana issue vyeti pamoja na kufanya verification.
Taasisi za elimu wana issue vyeti lakini hawafanyi verification.
Kwanini?
Taasisi za elimu ya juu wanafanya verification ya vyeti wakati wa zoezi la graduates kuomba kazi? Seriously?...Mkuu hata taasisi za elimu wanafanya verification za vyeti.
Taasisi za elimu ya juu wanafanya verification ya vyeti wakati wa zoezi la graduates kuomba kazi? Seriously?...
Hata kama RITA wangekuwa wanafanya verification phyisically kama wanasheria, kwanini kuwe na mismatch? Kwanini kusiwe na hivi unapeleka huku na vile unapeleka kule wakati zote ni documents?...Nadhani kinachokunyima raha ni RITA kuwa na online platform ya kuverify vyeti yawezekana wamefanya hivyo labda kuna vyeti vingi vya magumashi mtaani.
Mwanasheria wakili, hakimu ni makamishna wa viapo kwa mujibu wa sheria notaris public....Nilipokuwa ninamsaidia mdogo wangu kuomba mkopo wa elimu ya juu (HESLB) mwaka huu 2020 nilifanya online verification ya cheti cha kuzaliwa pamoja na cha kifo cha baba yake katika portal ya RITA. Home Page lakini academic certificates nikaenda kugongea mihuri katika mahakama ya hakimu mkazi Kisutu.
Mkuu, kwa mfano wangu huu wa HESLB ni kwamba vyeti vya kuzaliwa na kufa vilifanyiwa utaratibu wa kisheria kwa maana havijapita katika mikono ya wanasheria? Sio ndio mkuu?Itakua umechagua kutoelewa mkuu. Suala ni taasisi kufanya verification au hazifanyi jibu ni YES wanafanya kama itakua ni lazima kwa muajiri kasema anataka vyeti ambavyo vipo verified na issued entity. Contrary waajiri wanataka vyeti certified na mwanasheria na sio verified.
Ngoja wataalam waje kufafanuaShikamooni wakubwa zangu wote wa hapa JamiiForums.
Ndugu zangu Watanzania eti;
Kwanini academic certificates zinafanyiwa verification kwa wataalam wa sheria badala ya taasisi husika ya elimu kama RITA wafanyavyo kwa vyeti vyao?
Nilipokuwa ninamsaidia mdogo wangu kuomba mkopo wa elimu ya juu (HESLB) mwaka huu 2020 nilifanya online verification ya cheti cha kuzaliwa pamoja na cha kifo cha baba yake katika portal ya RITA. Home Page lakini academic certificates nikaenda kugongea mihuri katika mahakama ya hakimu mkazi Kisutu.
(1) Kwanini "Copies of Academic Cerificates" zinapigwa muhuri kwa wataalam wa sheria badala ya kupata verification ya taasisi husika ya elimu (zipigwe muhuri wa chuo husika kama ni UDSM, IFM, UDOM, IAA, CBE) ndio ziitwe certified.
(2) Kwanini vyeti vya kuzaliwa na kufa vinapata verification ya RITA badala ya kupigwa muhuri wa wataalam wa sheria pekee kama wafanyavyo kwa "academic cerificates"?
Wataalam wa masuala haya kwanini kuna huu mkanganyiko, ninaomba ufafanuzi tafadhali wakuu.
USISAHAU: ENDELEA KUWA MZALENDO IPENDE TANZANIA. USICHAFUE TASWIRA NJEMA YA TAIFA LAKO. USTAWI WA NCHI YETU UNAANZA NA WEWE. TIMIZA WAJIBU WAKO IPASAVYO.
Sawa mkuu...Mwanasheria wakili, hakimu ni makamishna wa viapo kwa mujibu wa sheria notaris public....
Kuna mambo mawili hapo nadhani unachanganya mkuu, (Samahan huenda nimekuelewa vibaya)Mimi sijaongelea suala ya ku-issue any document. Ninaongelea verification tu baaaas...
Hapana mkuu haujanielewa vibaya. Ninaheshimu sana mawazo yako pia...Kuna mambo mawili hapo nadhani unachanganya mkuu, (Samahan huenda nimekuelewa vibaya)
Sawa bro...1. Verification of Copy vs the Original Certificate (unaVerify kwamba Copy ni kutoka nakala halis, hii inafanywa na makamishna wa viapo)
Sawa chief...2. Verification in Terms of Validity (Unaverify kwamba, Cheti ni Halisi kutoka mamlaka husika, Hii ni kama Necta wanavyofanya kwenye vyeti vya form 4 and 6)
Sawa boss...Nadhani Utaratibu namba mbili ni Mgumu, kwa sababu hakuna Standard za vyuoni
Sawa mkuu. Asante kwa ufafanuzi wakoNecta kuna standard Certificate ( Central verification) watahiniwa wote wanapata cheti kutoka mamlaka moja.
Ukiangalia suala zima kwa mapana yake utagundua ni kwanini Wanasheria ingawaje sidhani kama inakatazwa vyuo husika ku-verify vyeti!(1) Kwanini "Copies of Academic Cerificates" zinapigwa muhuri kwa wataalam wa sheria badala ya kupata verification ya taasisi husika ya elimu (zipigwe muhuri wa chuo husika kama ni UDSM, IFM, UDOM, IAA, CBE) ndio ziitwe certified.
Okay mkuu...Ukiangalia suala zima kwa mapana yake utagundua ni kwanini Wanasheria ingawaje sidhani kama inakatazwa vyuo husika ku-verify vyeti!
Binafsi, mara tu baada ya kupata cheti changu, nikatoa copy kadhaa nikaenda ofisini kwa Faculty Head na akazi-verify zile copies as "Certified True Copy of Original Certificate"!
Baada ya hapo, hakuna popote nilipotakiwa kupeleka cheti kilichokuwa verified na lawyer kwa sababu tayari nilikuwa na verified copies by the faculty head!
Lakini kwa ujumla wake, assume certified copies zimeniishia au nilibeba gamba langu bila kuwa na verified copies na sipo Tanzania lakini kule niliko natakiwa kuwasilisha certified copy!