Kwanini academic certificates zinafanyiwa verification kwa wataalam wa sheria badala ya taasisi husika ya elimu kama RITA wafanyavyo kwa vyeti vyao?

Kwanini academic certificates zinafanyiwa verification kwa wataalam wa sheria badala ya taasisi husika ya elimu kama RITA wafanyavyo kwa vyeti vyao?

Je, nirudi Tanzania kuja ku-verify hizo copies? HELL NO... Lawyer atafanya hiyo kazi! Huyo Lawyer anayo legal basis ambayo mtu mwingine hawezi kuwa nayo ukiondoa wahusika wa chuo ulichosoma!!
Asante kwa ufafanuzi wako mkuu.

Kwa hiyo ina maana "Certification/Verification" inaweza kufanywa na yeyote katika ya taasisi husika ya elimu pamoja na mtaalam wa sheria? Si ndio mkuu?
 
Asante kwa ufafanuzi wako mkuu.

Kwa hiyo ina maana "Certification/Verification" inaweza kufanywa na yeyote katika ya taasisi husika ya elimu pamoja na mtaalam wa sheria? Si ndio mkuu?
Sidhani kama ni yeyote! Ninachofahamu ni ama DVC, Faculty Head or Department Head.
 
wanajukumu la kusema hich chet mm kama mtu niliyepewa dhamaana kama comissiiner of oath .jamhuri inatambua aliyeapa kwangu nathibitisha hiki ni kivulicha nakala halisi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu, kwani "certified" na "verified" copies zina tofauti gani?
Kwa kiingireza ni Mwanansheria anaona cheti orijino nanagomnga muhuri kwenye copy na kuthuibitisha hio ni TRUE COPY OF THE ORIGINAL.Huko rRITA wao wanahakikishwa kwamba kwelie cheti chenyewe ni genuine sio cha kijanja janja.SO UKITAKA Kuthibitisha vyetu vya academic kama sio fake ni lazima uende CHUO husika ila nfikir Nacte wanayo namna ya ya kuhakiksha kwa sababu yeti vinatoka NECTA vyote.
 
Shikamooni wakubwa zangu wote wa hapa JamiiForums.

Ndugu zangu Watanzania eti;

Kwanini academic certificates zinafanyiwa verification kwa wataalam wa sheria badala ya taasisi husika ya elimu kama RITA wafanyavyo kwa vyeti vyao?

Nilipokuwa ninamsaidia mdogo wangu kuomba mkopo wa elimu ya juu (HESLB) mwaka huu 2020 nilifanya online verification ya cheti cha kuzaliwa pamoja na cha kifo cha baba yake katika portal ya RITA. Home Page lakini academic certificates nikaenda kugongea mihuri katika mahakama ya hakimu mkazi Kisutu.

(1) Kwanini "Copies of Academic Cerificates" zinapigwa muhuri kwa wataalam wa sheria badala ya kupata verification ya taasisi husika ya elimu (zipigwe muhuri wa chuo husika kama ni UDSM, IFM, UDOM, IAA, CBE) ndio ziitwe certified.

(2) Kwanini vyeti vya kuzaliwa na kufa vinapata verification ya RITA badala ya kupigwa muhuri wa wataalam wa sheria pekee kama wafanyavyo kwa "academic cerificates"?

Kwanini hakuna Standard za vyuoni; Mafano Necta kuna standard Certificate ( Central verification) watahiniwa wote wanapata cheti kutoka mamlaka moja, kwanini vyeti vya vyuo vikuu vyote visitolewe na TCU?

Wataalam wa masuala haya kwanini kuna huu mkanganyiko, ninaomba ufafanuzi tafadhali wakuu.

USISAHAU: ENDELEA KUWA MZALENDO IPENDE TANZANIA. USICHAFUE TASWIRA NJEMA YA TAIFA LAKO. USTAWI WA NCHI YETU UNAANZA NA WEWE. TIMIZA WAJIBU WAKO IPASAVYO.
Ni swali zuri umehoji, binafsi sioni haja ya Mwanasheria au Wakili kuverify cheti ambacho hatoi yeye. Kwanza Mwanasheria ana mfumo gani anaotumia kuverify au kucertify cheti hicho? ni usumbufu tu kwa Wananchi katika huduma wanazo hitaji. Yaani mtu unapeleka cheti kwa mtu anakisaini ndo kinakuwa na thamani huu ni ujinga sana. Necta wanatakiwa kuwa na Centralized portal ambayo waajiri au mtu yeyote anaweza kuverify credentials za applicant ili kujua kama yupo genuine au laa, na sio Mwanasheria ambae hata hakisomi cheti unachompa kugonga muhuri, Wanasheria wabaki na mambo yao mengine kwenye scope ya sheria, wabaki ku certify nyaraka for the purpose of Mahakama tu. Haya tuone mfano .. jeee Wale watumishi hewa waliotumbuliwa kwa kuwa na vyeti feki unadhani hawakupeleka vyeti vyao kwa Wanasheria na vikagongwa mihuri? walipeleka famba zikawa certified na wakapata kazi. Hapa bongo tumekalia ujinga sana.

Hata mambo ya kusomea cheti fulani na uwe certified uwe mtaalamu unaetambulika kwa fani fulani uliyosomea ni upuuzi mtupu. Mfano hauwezi kuwa Mwanasheria bila kupita Lawschool na kupata leseni au Muhuri, hauwezi kuwa Mfamasia bila kufanya mitihani ya Pharmacy Council na kupata leseni, hauwezi kuwa Engineer bila kupita CRB, hauwezi kuwa Mhasibu bila kusomea CPA. Takataka hizi jamani tuzikemee sana zinatuchelewesha na zitakwamisha generation yetu ijayo. Kufanya mambo haya maana yake elimu yetu bado haijitoshelezi na haina power, turudi kuirekebisha tuachane na hizi kozi za kibepari za madaraja (sandwich courses) zinafanya tuchelewe kufanikiwa. Mtu unakuja kupata kazi baada ya kusota miaka 30 hadi 35 takataka kabisa hii.
 
Mkuu wanasheria hawafanyi 'verification' (Uhakiki), wanachofanya 'certify' (kudhibitisha). Kama haujagundua tofauti hapo niulize tu!
Asante sana kwa ufafanuzi wako mkuu.

Sasa mkuu, je wale watumishi hewa waliotumbuliwa kwa kuwa na vyeti feki unadhani hawakupeleka vyeti vyao kwa Wanasheria na vikagongwa mihuri?
 
Back
Top Bottom