Infantry Soldier
JF-Expert Member
- Feb 18, 2012
- 15,892
- 16,476
- Thread starter
-
- #41
Asante kwa ufafanuzi wako mkuu.Je, nirudi Tanzania kuja ku-verify hizo copies? HELL NO... Lawyer atafanya hiyo kazi! Huyo Lawyer anayo legal basis ambayo mtu mwingine hawezi kuwa nayo ukiondoa wahusika wa chuo ulichosoma!!
Sidhani kama ni yeyote! Ninachofahamu ni ama DVC, Faculty Head or Department Head.Asante kwa ufafanuzi wako mkuu.
Kwa hiyo ina maana "Certification/Verification" inaweza kufanywa na yeyote katika ya taasisi husika ya elimu pamoja na mtaalam wa sheria? Si ndio mkuu?
Karibu sana Mkuu; Ila Una Ideas sana Infantry, na nimeona Baadhi ya Ideas zako zinafanyiwa kazi na wahusika/taasisi etc.Sawa bro...
Mkuu wanasheria hawafanyi 'verification' (Uhakiki), wanachofanya 'certify' (kudhibitisha). Kama haujagundua tofauti hapo niulize tu!Mimi sijaongelea suala ya ku-issue any document. Ninaongelea verification tu baaaas...
Kwa kiingireza ni Mwanansheria anaona cheti orijino nanagomnga muhuri kwenye copy na kuthuibitisha hio ni TRUE COPY OF THE ORIGINAL.Huko rRITA wao wanahakikishwa kwamba kwelie cheti chenyewe ni genuine sio cha kijanja janja.SO UKITAKA Kuthibitisha vyetu vya academic kama sio fake ni lazima uende CHUO husika ila nfikir Nacte wanayo namna ya ya kuhakiksha kwa sababu yeti vinatoka NECTA vyote.Mkuu, kwani "certified" na "verified" copies zina tofauti gani?
Ni swali zuri umehoji, binafsi sioni haja ya Mwanasheria au Wakili kuverify cheti ambacho hatoi yeye. Kwanza Mwanasheria ana mfumo gani anaotumia kuverify au kucertify cheti hicho? ni usumbufu tu kwa Wananchi katika huduma wanazo hitaji. Yaani mtu unapeleka cheti kwa mtu anakisaini ndo kinakuwa na thamani huu ni ujinga sana. Necta wanatakiwa kuwa na Centralized portal ambayo waajiri au mtu yeyote anaweza kuverify credentials za applicant ili kujua kama yupo genuine au laa, na sio Mwanasheria ambae hata hakisomi cheti unachompa kugonga muhuri, Wanasheria wabaki na mambo yao mengine kwenye scope ya sheria, wabaki ku certify nyaraka for the purpose of Mahakama tu. Haya tuone mfano .. jeee Wale watumishi hewa waliotumbuliwa kwa kuwa na vyeti feki unadhani hawakupeleka vyeti vyao kwa Wanasheria na vikagongwa mihuri? walipeleka famba zikawa certified na wakapata kazi. Hapa bongo tumekalia ujinga sana.Shikamooni wakubwa zangu wote wa hapa JamiiForums.
Ndugu zangu Watanzania eti;
Kwanini academic certificates zinafanyiwa verification kwa wataalam wa sheria badala ya taasisi husika ya elimu kama RITA wafanyavyo kwa vyeti vyao?
Nilipokuwa ninamsaidia mdogo wangu kuomba mkopo wa elimu ya juu (HESLB) mwaka huu 2020 nilifanya online verification ya cheti cha kuzaliwa pamoja na cha kifo cha baba yake katika portal ya RITA. Home Page lakini academic certificates nikaenda kugongea mihuri katika mahakama ya hakimu mkazi Kisutu.
(1) Kwanini "Copies of Academic Cerificates" zinapigwa muhuri kwa wataalam wa sheria badala ya kupata verification ya taasisi husika ya elimu (zipigwe muhuri wa chuo husika kama ni UDSM, IFM, UDOM, IAA, CBE) ndio ziitwe certified.
(2) Kwanini vyeti vya kuzaliwa na kufa vinapata verification ya RITA badala ya kupigwa muhuri wa wataalam wa sheria pekee kama wafanyavyo kwa "academic cerificates"?
Kwanini hakuna Standard za vyuoni; Mafano Necta kuna standard Certificate ( Central verification) watahiniwa wote wanapata cheti kutoka mamlaka moja, kwanini vyeti vya vyuo vikuu vyote visitolewe na TCU?
Wataalam wa masuala haya kwanini kuna huu mkanganyiko, ninaomba ufafanuzi tafadhali wakuu.
USISAHAU: ENDELEA KUWA MZALENDO IPENDE TANZANIA. USICHAFUE TASWIRA NJEMA YA TAIFA LAKO. USTAWI WA NCHI YETU UNAANZA NA WEWE. TIMIZA WAJIBU WAKO IPASAVYO.
Asante sana kwa ufafanuzi wako mkuu.Mkuu wanasheria hawafanyi 'verification' (Uhakiki), wanachofanya 'certify' (kudhibitisha). Kama haujagundua tofauti hapo niulize tu!
Asante mkuu...Ni swali zuri umehoji, binafsi sioni haja ya Mwanasheria au Wakili kuverify cheti ambacho hatoi yeye.