GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Labda pawe na muungano wa maandishi, lakini naona pana kitu hapo mbeleni juu ya hata kama wakiungana, hili lilitakiwa mapema sana japo lina faida na hasara kama ilivyo kawaida kwenye mambo mengi kuwa na pande mbili.
Nikiwa mfuatiliaji wa mambo ya Muungano nadhani kuna jambo ambalo kwa wenye kufikiri watakua wameshaanza kuelewa kwanini hali ipo hivyo ila wanao waza wataendelea kubashiri na si kuleta suluhisho la mambo ya Muungano wao kwanini kama upande mmoja una shauku sana na mwingine kama hautilii maanani sana.Nikiwa kama mwana CHADEMA hata 'Members' wote wa JamiiForums hapa wanalijua hili Mimi nadhani Tundu Antipasi Lissu Wetu anatosha sana.
Hahaa wewe Genta lini umekuwa chadema
Daahh kweli maisha bila unafiki hayaendi
Anatosha kwenye kuchambua hoja si kuongoza Taifa, hebu punguzeni mihemkoNikiwa kama mwana CHADEMA hata 'Members' wote wa JamiiForums hapa wanalijua hili Mimi nadhani Tundu Antipasi Lissu Wetu anatosha sana.
Hebu na waseme, mimi huwatizama kwa jicho la huruma, ngojeni uchaguzi upite ndio Mtajua kusoma a, e, I, o, uChadema inataka maslahi na ACT inataka uhai.
Kama Chadema wakisema NO ushirikiano na ACT, huo ndio utakuwa msumari wa mwisho kwenye jeneza la ACT.
Ikumbukwe wote wanashida ya kupata wagombea makini kwenye majimbo yote ya nchi zima.
Hujawahi kuwa mwanachadema mkuu ... otherwise umejiunga leo kwa mfumo wetu mpya wa chadema digital [emoji23][emoji23][emoji23]Nadhani ulibakia Wewe tu hapa Jamvini JamiiForums kujua kuwa Mimi GENTAMYCINE ANTIBIOUTIQUE ni mwana CHADEMA tena 'lia lia'kabisa tu.
Anatosha kwenye kuchambua hoja si kuongoza Taifa, hebu punguzeni mihemko
Ili wasije singiziana
Wewe unajua nini hali ya kuwa unakuja kuuliza hapa nawe wajiita mwanachadema' hebu Acha upumbavu na ulofaPole sana Usilolijua ni sawa na Usiku wa Giza.
Wewe kama mtaalam unapaonaje hapo? CCM mpaka june wana wanachama mil 16 mtaji tayari huo halafu wapinzani bado mpaka sasa wanasuasua. Hata kama ningependa washinde lakini sioni dalili. Kitakachotokea watagawana kura tu na kwaachia ccm mwanya. Ni muono wangu.Kila nikiwasikia ACT-Wazalendo wakizungumza naona wanatia sana Huruma na wakati mwingine hadi 'wanalazimisha' Waungane na CHADEMA lakini kila nikiwasikia CHADEMA wao nawaona hawataki huo Ushirikiano wa 'Kinafiki' na badala yake wanataka kila Chama Kipambane tu na hali yake kuelekea Uchaguzi Mkuu ujao. Safi mno CHADEMA hakuna Kuungana nao Lissu Wetu anatosha.
Kazi ipo mwaka huu!
Hii account imedukuliwa na TISS wa CDM ama?Nikiwa kama mwana CHADEMA hata 'Members' wote wa JamiiForums hapa wanalijua hili Mimi nadhani Tundu Antipasi Lissu Wetu anatosha sana.
Urafiki wa mashaka.Hebu na waseme, mimi huwatizama kwa jicho la huruma, ngojeni uchaguzi upite ndio Mtajua kusoma a, e, I, o, u