GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
- Thread starter
-
- #21
Hujawahi kuwa mwanachadema mkuu ... otherwise umejiunga leo kwa mfumo wetu mpya wa chadema digital [emoji23][emoji23][emoji23]
Bc sawa mkuu karibu sanaMbona hata Mheshimiwa Rais Kivuli ajae wa Tanzania Tundu Lissu ananijua kabisa kuwa Mimi na huko huko aliko Yeye na ninamkubali ile mbaya?
Wewe unajua nini hali ya kuwa unakuja kuuliza hapa nawe wajiita mwanachadema' hebu Acha upumbavu na ulofa
Wewe kama mtaalam unapaonaje hapo? CCM mpaka june wana wanachama mil 16 mtaji tayari huo halafu wapinzani bado mpaka sasa wanasuasua. Hata kama ningependa washinde lakini sioni dalili. Kitakachotokea watagawana kura tu na kwaachia ccm mwanya. Ni muono wangu.
Huyo atachukua nafasi ya Lowasa ataendelea kuwa rais wa mioyo ya wana CHADEMA na wa Social MediaMbona hata Mheshimiwa Rais Kivuli ajae wa Tanzania Tundu Lissu ananijua kabisa kuwa Mimi na huko huko aliko Yeye na ninamkubali ile mbaya?
Huu uchaguzi huenda ukaleta matokeo ya kushangaza.
Kila nikiwasikia ACT-Wazalendo wakizungumza naona wanatia sana Huruma na wakati mwingine hadi 'wanalazimisha' Waungane na CHADEMA lakini kila nikiwasikia CHADEMA wao nawaona hawataki huo Ushirikiano wa 'Kinafiki' na badala yake wanataka kila Chama Kipambane tu na hali yake kuelekea Uchaguzi Mkuu ujao. Safi mno CHADEMA hakuna Kuungana nao Lissu Wetu anatosha.
Kazi ipo mwaka huu!
Wewe si MNEKI wewe?Nadhani ulibakia Wewe tu hapa Jamvini JamiiForums kujua kuwa Mimi GENTAMYCINE ANTIBIOUTIQUE ni mwana CHADEMA tena 'lia lia'kabisa tu.
Walichotarajia wao ujio wa Membe ni tofauti walizani ana ushawishi mkubwa kama ule wa Lowasa sasa wameona ndivyo sivyo wameamua kuwalamba miguu CHADEMA
Sijui umepata wapi mambo haya ya uongo, umemshikiliza Mbowe, Lissu na wengine wanachosema kuhusu muungano? Mtaitumikia ccm sana kwa njaa zenu.Kila nikiwasikia ACT-Wazalendo wakizungumza naona wanatia sana Huruma na wakati mwingine hadi 'wanalazimisha' Waungane na CHADEMA lakini kila nikiwasikia CHADEMA wao nawaona hawataki huo Ushirikiano wa 'Kinafiki' na badala yake wanataka kila Chama Kipambane tu na hali yake kuelekea Uchaguzi Mkuu ujao. Safi mno CHADEMA hakuna Kuungana nao Lissu Wetu anatosha.
Kazi ipo mwaka huu!
Lakini huo muungano wa vyama nna mashaka nao wasije wakabadili gia angani wakaleta mtu mwingine ni bora kusiwepo uchaguzi.Kila nikiwasikia ACT-Wazalendo wakizungumza naona wanatia sana Huruma na wakati mwingine hadi 'wanalazimisha' Waungane na CHADEMA lakini kila nikiwasikia CHADEMA wao nawaona hawataki huo Ushirikiano wa 'Kinafiki' na badala yake wanataka kila Chama Kipambane tu na hali yake kuelekea Uchaguzi Mkuu ujao. Safi mno CHADEMA hakuna Kuungana nao Lissu Wetu anatosha.
Kazi ipo mwaka huu!
Hili andiko la antibiotic/GentaNi mbinu ya kuwagawa chadema na ACT kwa maslahi ya CCM kushinda uchaguzi.Hahaa wewe Genta lini umekuwa chadema
Daahh kweli maisha bila unafiki hayaendi
ThubutuuuNadhani ulibakia Wewe tu hapa Jamvini JamiiForums kujua kuwa Mimi GENTAMYCINE ANTIBIOUTIQUE ni mwana CHADEMA tena 'lia lia'kabisa tu.