Wote akili zinaendeshwa na njaa + tamaa ya madaraka na sio kuwatumikia watanzania.Kila nikiwasikia ACT-Wazalendo wakizungumza naona wanatia sana Huruma na wakati mwingine hadi 'wanalazimisha' Waungane na CHADEMA lakini kila nikiwasikia CHADEMA wao nawaona hawataki huo Ushirikiano wa 'Kinafiki' na badala yake wanataka kila Chama Kipambane tu na hali yake kuelekea Uchaguzi Mkuu ujao. Safi mno CHADEMA hakuna Kuungana nao Lissu Wetu anatosha.
Kazi ipo mwaka huu!
Ni yeye Okwi?
Achana na maswali ya kipuuzi....kwa uongoz huu kuna mtu asiyeweza kuongoza nchi hiiKwani nchi inaongozwa na nani?
Janga la kitaifaCha msingi wewe jua ACT na CDM watashirikiana kwenye baadhi ya maeneo kuangamiza joka la kijani
Kila nikiwasikia ACT-Wazalendo wakizungumza naona wanatia sana Huruma na wakati mwingine hadi 'wanalazimisha' Waungane na CHADEMA lakini kila nikiwasikia CHADEMA wao nawaona hawataki huo Ushirikiano wa 'Kinafiki' na badala yake wanataka kila Chama Kipambane tu na hali yake kuelekea Uchaguzi Mkuu ujao. Safi mno CHADEMA hakuna Kuungana nao Lissu Wetu anatosha.