Kwanini aende Makamba na si Jaffo?

Nimesoma comments zote, swali na HOJA ya mwandishi haijajibiwa.

Labda aje alieteua mawaziri aseme kitu hapaπŸ™ƒπŸ™ƒπŸ™ƒ
Rais alishafanya kazi na January siku za nyuma akiwa Makamu wa Rais, ambako Mazingira lilikuwa suala lilioshughurikiwa na ofisi yake huku January akiwa Waziri husika. Tukuachana na mitazamo yetu mingine, Rais yawezekana kaona huyu aliyemtuma anao uwezo zaidi ya Waziri husika kwa vile kwa nafasi yake amewajua wote.
 
Kwamba unanusa kamba kuhamishiwa huko soon???

Bado SWALI hili ni GUMU halijajibiwa na yeyote Hadi sasa.
 
Jibu: Ana uzoefu na masuala haya!
Unathibitisha kuwa Rais ana VILAZA ktk BARAZA lake la mawaziri, na MAKAMBA ni Genius kuliko wote???

Hili linafikirisha sana!!!!!!

Tafadhali, Waziri mkuu au Rais alijibu swali hili, tukijibu sie maswali yanaongezeka Badala ya kupungua!!!
 
View attachment 2346895

Nauliza kwa nia njema kabisa, iweje Waziri anayehusika moja kwa moja na masuala ya mazingira na tabianchi asiendeke kwenye hilo kongamano na badala yake kaenda mtu wa nishati?!
Kipenzi cha mama,

Weee achaaaa mtoto wa Mama.

Hata kama si wizara yake hata

Katiba na sheria ataenda hata UTUMISHI ataenda hata kazi na Ajiraa

Ataenda kumwakilisha mama


Jana nilipoonaa hii nikasema ivi Jaffo hana naibu waziri kwani ???
Ili kama amezidiwa na majukumu naibu wake aendee
 
View attachment 2346895

Nauliza kwa nia njema kabisa, iweje Waziri anayehusika moja kwa moja na masuala ya mazingira na tabianchi asiendeke kwenye hilo kongamano na badala yake kaenda mtu wa nishati?!
Jafo alikuwa toyboy wa mwendazake,na Makamba alichukiwa sana na mwendazake,sasa kibao kimebadirika,Pro Maghu wote sasa hv lazima wasomeshwe namba
 
Eti kilaza Babu Tale naye ni Mbunge !!!

Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
 
Unajua hizi Familia za akina Mwinyi, Karume, Makamba, Membe, Msuya, na JK walisha tuona Watanzania ni Wajinga. Yaani ni pachika bandua. Akitoka huyu, anakuja huyu. Ni muda tuwaoneshe dunia ni mduara.
Huo ndio ukweli unaosemwa na kila mwenye akili timamu. Hizo familia zijitazame sana, Watanzania sio wajinga wanawachora ujinga ujinga wanaoufanya.
 
View attachment 2346895

Nauliza kwa nia njema kabisa, iweje Waziri anayehusika moja kwa moja na masuala ya mazingira na tabianchi asiendeke kwenye hilo kongamano na badala yake kaenda mtu wa nishati?!
Jaffo ana Bsc ya Nutrition and food technology na ujajanja tu. Hata PhD yake ni makaratasi tu ya kuandikiwa na ma lecturer wa UDOM, mwambie aendelee kuwa mpole
 
We huoni kuna maBillion hapo? Lazma wazee wa kazi waingie
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…