Suzy Elias
JF-Expert Member
- Nov 9, 2021
- 1,067
- 6,200
- Thread starter
- #61
..
...ambaye ni nani sasa?Huyu mtu ni alaaniwe tu walahi!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
...ambaye ni nani sasa?Huyu mtu ni alaaniwe tu walahi!
Rais alishafanya kazi na January siku za nyuma akiwa Makamu wa Rais, ambako Mazingira lilikuwa suala lilioshughurikiwa na ofisi yake huku January akiwa Waziri husika. Tukuachana na mitazamo yetu mingine, Rais yawezekana kaona huyu aliyemtuma anao uwezo zaidi ya Waziri husika kwa vile kwa nafasi yake amewajua wote.Nimesoma comments zote, swali na HOJA ya mwandishi haijajibiwa.
Labda aje alieteua mawaziri aseme kitu hapa🙃🙃🙃
Kwamba unanusa kamba kuhamishiwa huko soon???Rais alishafanya kazi na January siku za nyuma akiwa Makamu wa Rais, ambako Mazingira lilikuwa suala lilioshughurikiwa na ofisi yake huku January akiwa Waziri husika. Tukuachana na mitazamo yetu mingine, Rais yawezekana kaona huyu aliyemtuma anao uwezo zaidi ya Waziri husika kwa vile kwa nafasi yake amewajua wote.
Linaweza kuwa gumu kutokana na mazingira yetu ya kiutendaji,hatuaminiki.Kwamba unanusa kamba kuhamishiwa huko soon???
Bado SWALI hili ni GUMU halijajibiwa na yeyote Hadi sasa.
Usimpangie Rais cha kufanyaView attachment 2346895
Nauliza kwa nia njema kabisa, iweje Waziri anayehusika moja kwa moja na masuala ya mazingira na tabianchi asiendeke kwenye hilo kongamano na badala yake kaenda mtu wa nishati?!
Unathibitisha kuwa Rais ana VILAZA ktk BARAZA lake la mawaziri, na MAKAMBA ni Genius kuliko wote???Jibu: Ana uzoefu na masuala haya!
Ila kweli yule mzala inglishi noti rechabo kabisaTatizo lugha dada
Kipenzi cha mama,View attachment 2346895
Nauliza kwa nia njema kabisa, iweje Waziri anayehusika moja kwa moja na masuala ya mazingira na tabianchi asiendeke kwenye hilo kongamano na badala yake kaenda mtu wa nishati?!
Ile kilugha tunaita unga unga mwana,si unakumbuka hata dhalim naye alikuwa mzee wa kuchapia sana lugha ya Bimkubwa Lizzy.Sasa ile Masters aliiandika Kizaramo?
😂😂😂😂Ile kilugha tunaita unga unga mwana,si unakumbuka hata dhalim naye alikuwa mzee wa kuchapia sana lugha ya Bimkubwa Lizzy.
Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
Jafo alikuwa toyboy wa mwendazake,na Makamba alichukiwa sana na mwendazake,sasa kibao kimebadirika,Pro Maghu wote sasa hv lazima wasomeshwe nambaView attachment 2346895
Nauliza kwa nia njema kabisa, iweje Waziri anayehusika moja kwa moja na masuala ya mazingira na tabianchi asiendeke kwenye hilo kongamano na badala yake kaenda mtu wa nishati?!
Eti kilaza Babu Tale naye ni Mbunge !!!She is not smart from the beginning, unateuaje mizigo halafu baadae uone ni mizito?
Nchi inaenda hovyo sana hii! Huko Executive shagalabaghala, ukienda Judiciary halafu ukulinganishe hata na majirani wenzetu tuu hapo Kenya utabaki unajishangaa maana utaona ni tofauti ya mbingu na nchi.
Sasa fungakazi ni hilo tunaloita Bunge! Kwamba wale watu 300+ ndio wawakilishi wa Watanzania milioni 60? Kweli?
Nchi hii imejaa mzaha mtupu, ni aibu kwetu kizazi hiki kushindwa kufanya maamuzi sahihi.
Hizi PhD za wanasiasa wa CCM ni majanga matupu,na urogwe kuzifukunyua utaenda kuwa kifungua kinywa cha chatu.[emoji23] asinge faulu labda kuna aliye proof read au kuliandika.
Huo ndio ukweli unaosemwa na kila mwenye akili timamu. Hizo familia zijitazame sana, Watanzania sio wajinga wanawachora ujinga ujinga wanaoufanya.Unajua hizi Familia za akina Mwinyi, Karume, Makamba, Membe, Msuya, na JK walisha tuona Watanzania ni Wajinga. Yaani ni pachika bandua. Akitoka huyu, anakuja huyu. Ni muda tuwaoneshe dunia ni mduara.
Yupi sasa mteuzi au mteuliwa?Huyu mtu ni alaaniwe tu walahi!
Jaffo ana Bsc ya Nutrition and food technology na ujajanja tu. Hata PhD yake ni makaratasi tu ya kuandikiwa na ma lecturer wa UDOM, mwambie aendelee kuwa mpoleView attachment 2346895
Nauliza kwa nia njema kabisa, iweje Waziri anayehusika moja kwa moja na masuala ya mazingira na tabianchi asiendeke kwenye hilo kongamano na badala yake kaenda mtu wa nishati?!
😂😂😂😂😂Hizi PhD za wanasiasa wa CCM ni majanga matupu,na urogwe kuzifukunyua utaenda kuwa kifungua kinywa cha chatu.
Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
Huyo ni Waziri asiyekuwa na Wizara Maalum.View attachment 2346895
Nauliza kwa nia njema kabisa, iweje Waziri anayehusika moja kwa moja na masuala ya mazingira na tabianchi asiendeke kwenye hilo kongamano na badala yake kaenda mtu wa nishati?!