Kwa maoni yangu haipo sababu ya mafuta kupanda Afrika,
(1) Kwanza hawa ku support nchi za magharibi ndio maana wengi wao hawakuilaumu Urusi kwa uvamizi na wengine hawakupiga kura kuilaumu Urusi.
(2) Katika vikwazo alivyowekewa mafuta hayamo hadi sasa nchi za EU ndio zinaongoza kununua mafuta ya Russia tena kwa hela ya Urusi. Walioweka vikwazo bado wananunua mafuta.
(3) China hawakuunga mkono vikwazo ndio maana wanaendelea kununua bidhaa mabali mbali pamoja na mafuta. Afrika tunajielewa kweli?
Waafrika wajiunge wawe kitu kimoja hata kupitia AU wawe wanaagiza mafuta as a block.