Kwasababu mafuta ya Urusi ni ya kibaguz.Afrika tumetegwa tukijichanganya kidogo tu tunapoteana. Unajua Tanzania tulikua na access ya kununua hayo mafuta kwa Bei hiyo ndogo lakini marafiki wetu wakubwa kiuchumi ni mataifa ya maghalibi.
Baada ya Ile kula ya kutokulaani uvamizi ule tulijibainisha kuwa tunaunga mkono, ikamlazimu Mama akazindulie royal tour Marekani kuonesha kuwa sisi ni wamoja na tupo pamoja nao. Hilo tu linatufunga tusitumie bidhaa za Russia kwakuhofia kuchanganywa kwenye msala.
HahahView attachment 2213441Development partners wetu wanaamini kwenye democracy, wrong invasion na ndio wanaotufadhili mpaka bajeti yetu hatuwezi kwenda kinyume na wishes zao tutakosa mishahara ya waheshimiwe waliojazana na masuti na ma VXR
Siyo hawanunui wananunua sn sema ufisadi mkubwa na unyonyaji kwa wananchiKwa maoni yangu haipo sababu ya mafuta kupanda Afrika,
(1) Kwanza hawa ku support nchi za magharibi ndio maana wengi wao hawakuilaumu Urusi kwa uvamizi na wengine hawakupiga kura kuilaumu Urusi.
(2) Katika vikwazo alivyowekewa mafuta hayamo hadi sasa nchi za EU ndio zinaongoza kununua mafuta ya Russia tena kwa hela ya Urusi. Walioweka vikwazo bado wananunua mafuta.
(3) China hawakuunga mkono vikwazo ndio maana wanaendelea kununua bidhaa mabali mbali pamoja na mafuta. Afrika tunajielewa kweli?
Waafrika wajiunge wawe kitu kimoja hata kupitia AU wawe wanaagiza mafuta as a block.
Sio mpaka awepo. Tunajitambua tatizo udhubutu. Uwoga umetawalaSubutu labda Muamar Gadafi afufuke ndio Africa tutajitambua.
Hapo mtaani kwako tu hanuwezi kufanya kitu as a block.Kwa maoni yangu haipo sababu ya mafuta kupanda Afrika,
(1) Kwanza hawa ku support nchi za magharibi ndio maana wengi wao hawakuilaumu Urusi kwa uvamizi na wengine hawakupiga kura kuilaumu Urusi.
(2) Katika vikwazo alivyowekewa mafuta hayamo hadi sasa nchi za EU ndio zinaongoza kununua mafuta ya Russia tena kwa hela ya Urusi. Walioweka vikwazo bado wananunua mafuta.
(3) China hawakuunga mkono vikwazo ndio maana wanaendelea kununua bidhaa mabali mbali pamoja na mafuta. Afrika tunajielewa kweli?
Waafrika wajiunge wawe kitu kimoja hata kupitia AU wawe wanaagiza mafuta as a block.
Makamba hajagundua kwamba uarabuni kwenye mafuta ni karibu kuliko India.Tulivyo watu wa ajabu, tunanunua mafuta toka India, yaani India ni moja ya nchi ambazo Tanzania inanunua mafuta kwake, uliza yeye India ananunua wapi..
Trump alikuwa sahihi mno!!!