Soko la hisa kila kitu kinakuwa wazi na serikali yetu aipend mambo yake yake wazi.ATCL kila mwaka linapata hasara
Haswa hasa Tanesco maana hana competitor sema kuna upigaji wanaogopa ku list dse maana watahojiwa.Humo ndo vigogo wa serikali hujichotea mapesa ya Bure. Kuna mashirika kama
Tanesco
Trc
Atcl
Ttcl
Dawasco
Yangepelekwa dse yangekuwa na faida kubwa sana kuliko hata sasa.
Hakuna shirika kwa east Africa lingeweza izid tanesco kwa utajiri na faida
Soko la hisa ni system inayowawezesha wadau wengine kumiliki kuwa na umiliki wa kampuni.
Wakati shirika la Precious Air limeweka kampuni yake kwenye soko la hisa, shirika kongwe zaidi halionekani likisogea wala kuthubutu kufanya hivyo!
Swali linabaki KWANINI?
Ni linahofia nini?
Linaogopa nn sasa?
Kenya tanesco yao ipo NSEHaswa hasa Tanesco maana hana competitor sema kuna upigaji wanaogopa ku list dse maana watahojiwa.
😁😁 mambo yawe wazi ili muwafungeSoko la hisa kila kitu kinakuwa wazi na serikali yetu aipend mambo yake yake wazi.
NadhaniHumo ndo vigogo wa serikali hujichotea mapesa ya Bure. Kuna mashirika kama
Tanesco
Trc
Atcl
Ttcl
Dawasco
Yangepelekwa dse yangekuwa na faida kubwa sana kuliko hata sasa.
Hakuna shirika kwa east Africa lingeweza izid tanesco kwa utajiri na faida
Mkuu tusaidie tusiojua, likiwekwa DSE inasaidia nini? Hasara zitaosha/kuoungua?Soko la hisa ni system inayowawezesha wadau wengine kumiliki kuwa na umiliki wa kampuni.
Wakati shirika la Precious Air limeweka kampuni yake kwenye soko la hisa, shirika kongwe zaidi halionekani likisogea wala kuthubutu kufanya hivyo!
Swali linabaki KWANINI?
Ni linahofia nini?
Linaogopa nn sasa?
Kwanini linatakiwa kuwekwa???Soko la hisa ni system inayowawezesha wadau wengine kumiliki kuwa na umiliki wa kampuni.