Kwanini Air Tanzania (ATCL) wanaogopa kuliweka shirika lake kwenye Hisa DSE?

Kwanini Air Tanzania (ATCL) wanaogopa kuliweka shirika lake kwenye Hisa DSE?

Kwa hasara zinazopata kila mwaka nani atakubali kupoteza pesa zake?
 
Boss jamiiforum kila mtu mjuaji ila ATCL ni 100% state-owned kama unavyoona Qatar airways..tusifananishe na precision(private company)
 
Ikiwekwa public kutakua hamna hasara??
Hasara inatokana na pesa kuchotwa
Sio kuchotwa tu. Vipi kuhusu ndege kubeba wachezaji free hizo hasara atafidia nani??

Kule DSE si umeona kinachomkuta Precision?
Hisa za PAL zimeleta hasara watu wanashindwa kuuza na hakuna wanunuzi..!!

Suala la usafiri wa anga kwa uwekezaji hapa bongo ni risk tupu..!!
 
Hapo sasa
Ikiwekwa public hamna muwekezaji ataekubali huo ujinga lakini pia serikali itapoteza control ya kujiamulia maanuzi ya hasara kama hayo
 
Kuingia kwenye soko la hisa kama imekaa kisiasa zaidi. Imagine kipindi cha Magufuli lilikua linatoa gawio ghafla kaingia Samuya linatangaza hasara kila mwaka.

SO to make a story short ni kuwa mashirika karibu yote ya uma hayana uwazi na uwajibikaji, ni vichaka vya kupigia hela wanasiasa na watumishi.

Shirika ambalo linaweza kuchelewesha safari kwa kumngoja waziri nani atawekeza?
 
Achana na ATC, ATCL ilianzishwa kwa mbwembwe za kisiasa zaidi kiasi ifanye hasara kwa kuwa walianza harusi ukafuatia ushenga na uchumba, yaani baada ya kutafuta routes, kuzifanyia routes costs-benefit analysis then ndio ununue ndege- wakaanza kununua midege kwa mbwembwe sasa ndege zipo ila profitable routes hakuna, as a result zinakaa iddle muda mrefu
 
Back
Top Bottom