Kwanini Air Tanzania (ATCL) wanaogopa kuliweka shirika lake kwenye Hisa DSE?

Hapo sasa
Ikiwekwa public hamna muwekezaji ataekubali huo ujinga lakini pia serikali itapoteza control ya kujiamulia maanuzi ya hasara kama hayo
Serikali ipi?
Hii ya veggies isiyojali wananchi ndio ikaogope wawekezaji wa hisa? 😹

Hao ATCL wakiingia DSE hamna muwekezaji anayejielewa atakubali kurisk pesa zake.
 
Labda
 
Back
Top Bottom