Kwani Mitandao mwingine wanafidiaWakuu, October mwishoni hadi November mwanzoni internet ilizimwa.
Sasa kuna watumiaji wa unlimited internet kutoka Airtel tulikua tushalipia, lakini kwann ilo week hawajafidia? Tarehe yao ilipofika tu bando limekata?
Tigo mie walinipa extra siku baada ya kifurushi kuexpireKwani Mitandao mwingine wanafidia
Ki ukweli kabisa Airtel walifanya hivyo kwa siku tano kama ulisajili huduma hiyo kihalali.Mimi airtel wamenifidia siku 6 kasoro.
Ila mtandao ulizingua sana siku ya mwisho, nilichelewa tu kuunga ndo nikajua kuna siku extra
Ninayo ya halotel ni kama TU MTU kununua kifurushi KUTUMIA muda ule umeisha so hawajali hiloSijajua, me natumia Airtel mkuu
Tatizo halikutoka kwao mkuu, ni TCRA ndo walileta hiyo kadhia,Wakuu, October mwishoni hadi November mwanzoni internet ilizimwa.
Sasa kuna watumiaji wa unlimited internet kutoka Airtel tulikua tushalipia, lakini kwann ilo week hawajafidia? Tarehe yao ilipofika tu bando limekata?