Kwanini akinadada hatuwezi kuomba gegedo...?

Kwanini akinadada hatuwezi kuomba gegedo...?

kuna siku kulikuwa na game ya uefa, nikawa na nacheki sebuleni! gafla mamsap akaita kutokea chumbani "......vp hiyo mechi ngapi ngapi? nikamjibu bado bila bila, njoo mara 1 uwaonyesha jinsi ya kuscore! nilipoenda sikurudi tena sebuleni!"
Kwikwikwikwikwikwikwikwikwiiiiiiii....teheteheteheteheteheteeeee...utu uzima dawa utoto maradhi
 
sio uongo wala utani wanawake wengi wahanga wa hili unakuta mdada anatamani gegego ila kumwomba mumewe au mpenzi wake anaogopa anaona aibu.
me mwenyenye nilikua mhanga wa hili jambo ila kwa sasa najitosa nikitaka mzigo naomba kama kawa.
Akyanani we ulivyo na aibu huwezi kabisaaaaa...
 
sio uongo wala utani wanawake wengi wahanga wa hili unakuta mdada anatamani gegego ila kumwomba mumewe au mpenzi wake anaogopa anaona aibu.
me mwenyenye nilikua mhanga wa hili jambo ila kwa sasa najitosa nikitaka mzigo naomba kama kawa.

Hata biblia inasema ombeni mtapewa...
 
Wangu huwa ananiomc kwa fujo,utashitukia mambo yote nje,dushelele likiona ndo basi tena atanieleza.
 
Back
Top Bottom