Kwanini alaumiwe tip tip kwa kununuwa watumwa lakini wasilaumiwe machifu kwa kuwauza watu wao

Kwanini alaumiwe tip tip kwa kununuwa watumwa lakini wasilaumiwe machifu kwa kuwauza watu wao

1907 slavery was abolished in Zanzibar. Sultan Sayyed was allowed to do slave trade only in his territory before it was completely abolished in 1907 but most of Europe and USA, it was abolished much earlier in early 1800's.
 
In tanganyika slavery ended in 1927, when Britain took over tanganyika from Germany.
 
Tip tip took advantage of the loosening power of the sultan and created his own state called Manyema and illegally sold slaves to the Belgians in Zaire where their king leopard declared it his own private land, a country as big as the whole of European Union!
 
Tokyo40

Bin Faza, elimu yangu ni Ndogo kuhusu utumwa tanganyika na biashara ya utumwa. Ila Najua Kwamba Waafrika Kabla ya Wakoloni kuwagawanya walikuwa wanapigana vita ili wapate ardhi zaidi, Mali na watumwa wa kuwafanyia kazi zao. Hii imeelezwa katika kile kitabu cha Achebe. Na Sio tu afrika ila dumiani kote mnyonge Alikuwa anapokonywa ardhi na Ngugu zao kuwa watumwa Kabla utumwa haujapigwa vita. Kwa mfano, marekani walichukua ardhi kubwa ya Mexico kwa kuwa kijeshi Mexico walishindwa katika vita . Sasa California, New Mexico, Nevada, Texas, Arizona n.k ni Mali ya USA. Zote zilikuwa Mikoa ya Mexico.

Umesema neno kubwa hapo kwamba huna uhakika juu ya utumwa na tanganyika

na huo ndio ukweli kwa watu wengi hata hao unaowasikia wakipiga kelele kuwalaani waraabu na utumwa.

ukichunga kidogo ndani ya vitabu utakuwa watumwa walikuwa wakinunuliwa kutoka miji maalum sio kila mji. Na si lazima kama miji hiyo ilikuwa na vita kwa miaka 100 mfululizo.

kumbe ilikuwa ni tabia tu ya machifu wa miji hiyo kuwauza watu, wao machifu walijuwa vipi wanawakamata watu na kuwauza, mnunuwaji akifika mjini hapo anakuta kishungu cha watu anakinunua na kukisafirisha
 
Nimejaribu sana kutafuta vitabu vya wanahistoria wa kitanzania kuhusu utumwa lakini Madon watu wan spends tu kulala badala ya kuchapisha research. Sijui wanahistoria update Kielimu Kama hawaandiki vitabu.
 
Waungwana katika JF

Kila siku kila sehemu katika lalamiko kubwa tunazozisikia ni biashara ya utumwa

lawama kem kem zinamuangukia Bwa Mohammed Murjib au kwa umaarufu wake Tip Tip kama ndie aliendesha biashara ya utumwa huko tanganyika.

Biashara maana yake ni kununuwa na kuuza.

Lawama zote zinamuangukia Tip Tip kwa kununuwa watumwa lakini sijawahi kusikia hata mtanganyika mmoja akiwalaumu MACHIFU wa kabila zao kwa kuwauza raia au watu wao kwa TIP TIP na WaZUNGU.

naomba pasiletwe hoja kwamba tip tip alikwenda na bunduki na akawazunguka watanganyika elfu na kuwachukuwa akawatia michororo ya miguu na mikono na kuwawekea magogo mabegani na kuwapelekwa znz kuwauza.....hii haiwezi ku add up kwasabau na wao walikuwa nayo mikuki na mishale siku hizo

Lazima itakuwa kulikuwa na ushirikiano baina ya tip tip na machifu, mashirikiano ya kibiashara

Nguruvi3 na washabiki wenzako sisemi hivi kuthibitisha kwamba ninafurahiya biashara hiyo, no. mimi ninaulaani kwa level ya juu kabisa

lakini nakusudia kusema kwanini sisi katika generation hii, watu tulisoma na kutembea lakini wenye matatizo mengi kiasai ambacho tukimbebesha tembo anaweza kuanguka........tuwache kushuhulishwa na matatizo yetu na tukerwe na matukio ya 1800s

Ahsanteni

tip tip halikuwa muhislam na historia waliohalibu wazungu
 
Back
Top Bottom