Kwanini Ali Kiba hapati offer za matangazo ya makampuni makubwa kama Diamond Platnumz?

Unaambiwa kila dili la Diamond ni Billion kadhaa [emoji23][emoji23][emoji23] utadhani wahasibu na wake zake wamo umu duh hapo ndipo utawaelewa wenye timu,kwa nini mtoa mada umehoji kuhusu Kiba na sio Madee,Jux au Best Nasso au ukitoa Diamond msanii ni Kiba tu?
Mnamkubali alafu mnamkataa nahisi hamuelewi hata mfanye nini.
 
Yaan hwa wasanii wawili ndo wana blackmail wengine
 
mbona anapiga matangazo sana tuu,kama ni muangaliaji mzuri wa TV jaribu kuangalia clouds anaonekana sana kwenye matangazo ya fiesta,kuna moja wameenda kweny shule flan ya wasichana Arusha.
Daahh! Watu Mna Maneno Sana., Hahahahahahahaha Mbavu Zanguuu
 
Naona mziki unaeashinda unaenda kwenye endosment. Mwaka Jana kama unakumbuka Alikiba akiwa SA alitia saini mikataba mikubwa saba(7 major endosmemnt) Ebu jaribu Ku search unaweza kuondoa ujinga wako

great thinker
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…