wambura marwa
JF-Expert Member
- Mar 7, 2015
- 2,172
- 1,128
Hivi hapa nani hataki beef ama bifu liishe mpaka hapa ushachanganya mafileAlikiba ana roho mbaya mpaka anashindwa kujizuia
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hivi hapa nani hataki beef ama bifu liishe mpaka hapa ushachanganya mafileAlikiba ana roho mbaya mpaka anashindwa kujizuia
Mhhh! Ndugu unaishi Darisalamu kweli? Mi siyajui ya huko hebu nihadithie basi Diamond alianzishaje Bifu, kumbe Babu tale alizima mic mombasa, ilikiwaje? Haya mambo yanasikitisha kweli kweli, kwanini wanafanya hivyo lakini dah!UShabiki mwingine ni shida domo si ndio alianza bifu sasa anataka liishe ili iweje .kilichomfanya babu tale azime mic kule mombasa nini .ungekuwa wewe ungelimaliza hilo bifu? Hapo kuna jambo la hatari litakuja kiba usikubali ng'oooo
Kwani siku zote anakula wapi?mpumbavu huyu mziki wenywe hajui.Bila bifu na dai atakula wapi?
Kwani kujishusha ni lazima? Presha ya kupanda ndo huwa inashushwa ila si binadamuTatizo lake huwa hapendi kujishusha inapobidi ili apate zaidi, mwenzake anajua anapotaka kwenda, hivyo nyakati fulani anapohitajika kujishusha hufanya hivyo ili apate hatua zaidi, hapo ndo D anapomzidi mwenzake, anapenda kujifunza.
D haoni aibu kujipendekeza Kwa mtu ambaye anahisi amemzidi na anaona atapata kitu kutoka kwake, lakini mwenzake hapendi kujishusha anapenda kujiweka juu tu muda wote, hili linampotezea fursa nyingi, mfano angalia tu akaunti zao za IG itakupa picha ya ninachoongea, yeye anajiona ana umaarufu wa Beyonce.
Ally Alipaswa kuwa mbele ya D kwa sababu alianza gem na alitoka muda mrefu, lakini imekuwa tofauti kwa sababu ya kuridhika mapema na kutotaka kujipendekeza kwa walio mbele yake.
AJISHUSHAE ATAKWEZWA NA AJIKWEZAE ATASHUSHWA [emoji125][emoji125]
GONGOWAZI mna vituko sanaKatika siku domo kaniuzi basi na leo mpk nimeghafilika kabisa inakuaje unajishusha kiasi icho kwa msanii ambae hata hakufikii kwa level......kaonesha weakness kabisa kwa degree kubwa sana.....mwenzake akihojiwa kuhusu yeye huwa hajibu au atajibu kwa dharau afu lidomo bado linaongea kama lidemu vile Mara oooh cjui sina matatizo na ali Mara cjui nimemjulia Ali kupitia kwa Darling sasa ayo ya nn kwetu.....kajishushia heshima sana leo kumuongelea kiba yaani kaniuziiiiiiiiiiiiiii mpk nahisi kutapika
AhsanteGONGOWAZI mna vituko sana
Katika siku domo kaniuzi basi na leo mpk nimeghafilika kabisa inakuaje unajishusha kiasi icho kwa msanii ambae hata hakufikii kwa level......kaonesha weakness kabisa kwa degree kubwa sana.....mwenzake akihojiwa kuhusu yeye huwa hajibu au atajibu kwa dharau afu lidomo bado linaongea kama lidemu vile Mara oooh cjui sina matatizo na ali Mara cjui nimemjulia Ali kupitia kwa Darling sasa ayo ya nn kwetu.....kajishushia heshima sana leo kumuongelea kiba yaani kaniuziiiiiiiiiiiiiii mpk nahisi kutapika
Wemchawi au,,,, atii babu tale alizimamikeUShabiki mwingine ni shida domo si ndio alianza bifu sasa anataka liishe ili iweje .kilichomfanya babu tale azime mic kule mombasa nini .ungekuwa wewe ungelimaliza hilo bifu? Hapo kuna jambo la hatari litakuja kiba usikubali ng'oooo
Usikasirike mkaka kila kitu unachofanya lazima uwe na malengo #### ndo ufikie kilele cha mafanikio anajua nini anataka kufanya.Katika siku domo kaniuzi basi na leo mpk nimeghafilika kabisa inakuaje unajishusha kiasi icho kwa msanii ambae hata hakufikii kwa level......kaonesha weakness kabisa kwa degree kubwa sana.....mwenzake akihojiwa kuhusu yeye huwa hajibu au atajibu kwa dharau afu lidomo bado linaongea kama lidemu vile Mara oooh cjui sina matatizo na ali Mara cjui nimemjulia Ali kupitia kwa Darling sasa ayo ya nn kwetu.....kajishushia heshima sana leo kumuongelea kiba yaani kaniuziiiiiiiiiiiiiii mpk nahisi kutapika
Umesoma hadi level gani?Katika siku domo kaniuzi basi na leo mpk nimeghafilika kabisa inakuaje unajishusha kiasi icho kwa msanii ambae hata hakufikii kwa level......kaonesha weakness kabisa kwa degree kubwa sana.....mwenzake akihojiwa kuhusu yeye huwa hajibu au atajibu kwa dharau afu lidomo bado linaongea kama lidemu vile Mara oooh cjui sina matatizo na ali Mara cjui nimemjulia Ali kupitia kwa Darling sasa ayo ya nn kwetu.....kajishushia heshima sana leo kumuongelea kiba yaani kaniuziiiiiiiiiiiiiii mpk nahisi kutapika
Waambie wasituzowee kabisa, mazoea kuzoweanaaaa....hahahahaKatika siku domo kaniuzi basi na leo mpk nimeghafilika kabisa inakuaje unajishusha kiasi icho kwa msanii ambae hata hakufikii kwa level......kaonesha weakness kabisa kwa degree kubwa sana.....mwenzake akihojiwa kuhusu yeye huwa hajibu au atajibu kwa dharau afu lidomo bado linaongea kama lidemu vile Mara oooh cjui sina matatizo na ali Mara cjui nimemjulia Ali kupitia kwa Darling sasa ayo ya nn kwetu.....kajishushia heshima sana leo kumuongelea kiba yaani kaniuziiiiiiiiiiiiiii mpk nahisi kutapika
Sitaki maswali ya kipumbavuUmesoma hadi level gani?