Kwanini Ali Kiba hataki bifu lake na Diamond liishe?

UShabiki mwingine ni shida domo si ndio alianza bifu sasa anataka liishe ili iweje .kilichomfanya babu tale azime mic kule mombasa nini .ungekuwa wewe ungelimaliza hilo bifu? Hapo kuna jambo la hatari litakuja kiba usikubali ng'oooo
Mhhh! Ndugu unaishi Darisalamu kweli? Mi siyajui ya huko hebu nihadithie basi Diamond alianzishaje Bifu, kumbe Babu tale alizima mic mombasa, ilikiwaje? Haya mambo yanasikitisha kweli kweli, kwanini wanafanya hivyo lakini dah!
 
20% alisema lazima ukubali vitu Fulani huna..Diamond amefanya mapinduzi makubwa kwenye mziki wetu anajituma sana. Ali & diamond wanajenga nyumba moja wasigombe fito. Tatzo Ali anajiona yupo juu sana.
 
Katika siku domo kaniuzi basi na leo mpk nimeghafilika kabisa inakuaje unajishusha kiasi icho kwa msanii ambae hata hakufikii kwa level......kaonesha weakness kabisa kwa degree kubwa sana.....mwenzake akihojiwa kuhusu yeye huwa hajibu au atajibu kwa dharau afu lidomo bado linaongea kama lidemu vile Mara oooh cjui sina matatizo na ali Mara cjui nimemjulia Ali kupitia kwa Darling sasa ayo ya nn kwetu.....kajishushia heshima sana leo kumuongelea kiba yaani kaniuziiiiiiiiiiiiiii mpk nahisi kutapika
 
Tatizo lake huwa hapendi kujishusha inapobidi ili apate zaidi, mwenzake anajua anapotaka kwenda, hivyo nyakati fulani anapohitajika kujishusha hufanya hivyo ili apate hatua zaidi, hapo ndo D anapomzidi mwenzake, anapenda kujifunza.

D haoni aibu kujipendekeza Kwa mtu ambaye anahisi amemzidi na anaona atapata kitu kutoka kwake, lakini mwenzake hapendi kujishusha anapenda kujiweka juu tu muda wote, hili linampotezea fursa nyingi, mfano angalia tu akaunti zao za IG itakupa picha ya ninachoongea, yeye anajiona ana umaarufu wa Beyonce.

Ally Alipaswa kuwa mbele ya D kwa sababu alianza gem na alitoka muda mrefu, lakini imekuwa tofauti kwa sababu ya kuridhika mapema na kutotaka kujipendekeza kwa walio mbele yake.

AJISHUSHAE ATAKWEZWA NA AJIKWEZAE ATASHUSHWA [emoji125][emoji125]
Kwani kujishusha ni lazima? Presha ya kupanda ndo huwa inashushwa ila si binadamu
 
Katika siku domo kaniuzi basi na leo mpk nimeghafilika kabisa inakuaje unajishusha kiasi icho kwa msanii ambae hata hakufikii kwa level......kaonesha weakness kabisa kwa degree kubwa sana.....mwenzake akihojiwa kuhusu yeye huwa hajibu au atajibu kwa dharau afu lidomo bado linaongea kama lidemu vile Mara oooh cjui sina matatizo na ali Mara cjui nimemjulia Ali kupitia kwa Darling sasa ayo ya nn kwetu.....kajishushia heshima sana leo kumuongelea kiba yaani kaniuziiiiiiiiiiiiiii mpk nahisi kutapika
GONGOWAZI mna vituko sana
 
Nimeona kipande sio vibaya kukaribisha wateja kwake, ndio inabidi awe hivyo kama huyo mmoja hajiungi wasafi.com basi jua anavutia wengine wemgi wajiunge nae bila kuonyesha dharau.

Ametumia akili sana sana, anajua yupo juu ya wote ila imebidi awape nafasi walio chini yake wajiunge.

Akili nzuri sana kusaka pesa, huku anajua yule kiba lazima awe mbishi sababu bila yeye hapati chakula.

Na tunaona kiba hana mbele wala nyuma hadi sasa, tangu 2015 bado anajisukuma.
 
Katika siku domo kaniuzi basi na leo mpk nimeghafilika kabisa inakuaje unajishusha kiasi icho kwa msanii ambae hata hakufikii kwa level......kaonesha weakness kabisa kwa degree kubwa sana.....mwenzake akihojiwa kuhusu yeye huwa hajibu au atajibu kwa dharau afu lidomo bado linaongea kama lidemu vile Mara oooh cjui sina matatizo na ali Mara cjui nimemjulia Ali kupitia kwa Darling sasa ayo ya nn kwetu.....kajishushia heshima sana leo kumuongelea kiba yaani kaniuziiiiiiiiiiiiiii mpk nahisi kutapika
Usikasirike mkaka kila kitu unachofanya lazima uwe na malengo #### ndo ufikie kilele cha mafanikio anajua nini anataka kufanya.
 
Katika siku domo kaniuzi basi na leo mpk nimeghafilika kabisa inakuaje unajishusha kiasi icho kwa msanii ambae hata hakufikii kwa level......kaonesha weakness kabisa kwa degree kubwa sana.....mwenzake akihojiwa kuhusu yeye huwa hajibu au atajibu kwa dharau afu lidomo bado linaongea kama lidemu vile Mara oooh cjui sina matatizo na ali Mara cjui nimemjulia Ali kupitia kwa Darling sasa ayo ya nn kwetu.....kajishushia heshima sana leo kumuongelea kiba yaani kaniuziiiiiiiiiiiiiii mpk nahisi kutapika
Umesoma hadi level gani?
 
Waambie wasituzowee kabisa, mazoea kuzoweanaaaa....hahahaha
 
Ila kuna kitu kiba kakiona kwa Mondi" msishangae Mondi anajiweka sawa kiuwekezaji "financially" analalamika sana kuhusu malipo na wizi wa kazi za wasanii.

Ni hiv Mondi anajua kabisa wabongo hua wanatabia yakumzoea mtu hasa anayefanya makubwa na inafika stage watu wanamchoka" au wanaona kawaida hata afanye nn ndio point aliyoko Mondi sahv yani hata atoe collabo na Jay Z stil watu wataona fresh 2..normal yani japo ni "ndoto"

Kama P Funk alivyomshauri juzi EAtv Mondi anatakiwa atake time atengeneze kumisiwa flani na mashabiki hyo ndio itasaidia"

Kiba kashaona hicho kitu ndio mana hataki suluhu maana ataonekana baada ya kupata suluhu ndio katusua zaid bt anataka vle vle kwa kukaza kwake atoboe kwa njia zake.

Kiba ananafasi kubwa sana now. Atumie akili 2 na asikae kae kise afanye kazi haswaa
 
Back
Top Bottom