Kwanini Ali Kiba hataki bifu lake na Diamond liishe?

Hana mbele wala nyuma" ila ana watoto anawahudumia ila wewe mwenye mbele tu kutwa nzima upo humu vidole vinaota sugu tu
 
Bora wewe umejitahidi kuona mbali
 
Point yako ni ipi
 
Kiba anaona hii ni time nzuri sana yakumpiku Mondi "kimuziki"
Mondi kutaka kusolve beef ni kumrudisha nyuma Kiba. "KIBA beef ndio limemfikisha hapo.
Mypoint
Unajua diamond leo kajizalilisha sana coz kaonekana kama hana plan tena bali anaombea beef liishe....kwanza sioni ulazima wa kuwa anajibu maswali yanayomhusu kiba....mbona zamani alikuwa hajibu.....kama beef liendelee mwanzo mwisho mpk mmoja atakaposarenda au kuacha mziki maswala ya kujishusha ni us***** kaniuzi sana leo kama shabiki
 
Pole mwana haha ndio mana nikasema huyu mondi kunakitu anafikiria nw kichwani mwake"
Kumbuka pia anawataka sana Kiba, Baraka De Prince and Lady Jay Dee kwenye Wasafi.com kibiashara so anafanya kama namna flani hiv
Ndio mana alisema anaongea na management yao wapo kwenye mazungumzo
Kumbuka pia kwenye top ten most downloaded songs in mkito 2016 ni Wasanii Jide Baraka na kiba ndio walioongoza so it's big deal to have them in wasafi.com
 
Hivi hilo bifu huyo aliyesema liishe alishasema chanzo chake ni nini..?
 
Sababu ni za kibiashara tu. Hili ni bifu LA kupigia hela tu Na haliwezi Kuisha kwa siku za hivi karibuni.
Hata media hazitaki kuwapatisha coz wanaelewa hivyo
 
mkuu unapoint, ila kuna mambo nayafaham siku nikiwa na utayr nitawaeleza watu humu watabaki midomo wazi. kiba anamapungufu yake ila diamond pia anamapungufu yake, na nitakavovieleza hata presenters media fulan wanavijua vizur tena mnoo ila hawawez kusema.
 
Kiba anauza mziki wake kwenye online global platforms zaidi ya 700 hawezi kukubali auze nyimbo zake kwenye blogu uchwara ya wasafi
 
Juzi tu alisema "Ali anavaa Pete ya kijani" alafu akasema "anajisifa sauti wakati hana hela anaishia kukauka makoo tu."

Atujakaa vzuri akarusha dongo "wao waki-post tembo ye ana-post show" alafu hatujakaa vzuri akatamba "waambie dada zao wa kariakoo waje ulaya."

Mara ghafla wakaigizia kilichofanyika Mombasa kwenye ile video ya Rich Mavoko.Baada ya Ali kufungua account ya Vevo akarusha madongo kuwa walio Vevo wote hawapati hela kama anayopata yeye wanadhulumiwa na watu wa kati.

Ali alikuwa katulia tuli anamuangalia anavyopaparika...Sasa yamemfika shingoni anakimbilia kwenda kuomba huruma ya wananchi.

Hapa hakuna kuoneana huruma wala hakuna mazoea tusije zoea majini....Unaanzisha ugomvi wa mawe wakati unakaa kwenye nyumba ya vioo.
 
Kiba anauza mziki wake kwenye online global platforms zaidi ya 700 hawezi kukubali auze nyimbo zake kwenye blogu uchwara ya wasafi
Kwani mkito ni international? Mbona web ya wasafi imekaa vzr na manunuzi ni simple zaid ya mkito.
Sema ni vile atamkazia coz anajua ni kama kumtajirisha mondi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…