Denis denny
JF-Expert Member
- Oct 7, 2012
- 5,780
- 7,844
Hana mbele wala nyuma" ila ana watoto anawahudumia ila wewe mwenye mbele tu kutwa nzima upo humu vidole vinaota sugu tuNimeona kipande sio vibaya kukaribisha wateja kwake, ndio inabidi awe hivyo kama huyo mmoja hajiungi wasafi.com basi jua anavutia wengine wemgi wajiunge nae bila kuonyesha dharau.
Ametumia akili sana sana, anajua yupo juu ya wote ila imebidi awape nafasi walio chini yake wajiunge.
Akili nzuri sana kusaka pesa, huku anajua yule kiba lazima awe mbishi sababu bila yeye hapati chakula.
Na tunaona kiba hana mbele wala nyuma hadi sasa, tangu 2015 bado anajisukuma.