Mchiwa Ng'ambaku
JF-Expert Member
- Jan 24, 2015
- 959
- 803
We kweli umjui Ali.Pole mwana haha ndio mana nikasema huyu mondi kunakitu anafikiria nw kichwani mwake"
Kumbuka pia anawataka sana Kiba, Baraka De Prince and Lady Jay Dee kwenye Wasafi.com kibiashara so anafanya kama namna flani hiv
Ndio mana alisema anaongea na management yao wapo kwenye mazungumzo
Kumbuka pia kwenye top ten most downloaded songs in mkito 2016 ni Wasanii Jide Baraka na kiba ndio walioongoza so it's big deal to have them in wasafi.com
Najua itakua ngumu sana kwake kukubali" nikama kusema haiwezekaniWe kweli umjui Ali.
Yaani Ali akubali kwenda kuweka nyimbo zake kwenye blog ya Dimond?!
Rudi tena usingizini.
Kwani lazima?Kwani mkito ni international? Mbona web ya wasafi imekaa vzr na manunuzi ni simple zaid ya mkito.
Sema ni vile atamkazia coz anajua ni kama kumtajirisha mondi
Unafikiri wasafi.com ikianza kutajirisha wasanii kuna ambaye hataweka kazi zake mule? Sio lazma coz wao ni two rivalsKwani lazima?
Mhhh! Ndugu unaishi Darisalamu kweli? Mi siyajui ya huko hebu nihadithie basi Diamond alianzishaje Bifu, kumbe Babu tale alizima mic mombasa, ilikiwaje? Haya mambo yanasikitisha kweli kweli, kwanini wanafanya hivyo lakini dah!
Platforms za kuuzia muziki na kuwapatia pesa wasanii zipo nyingi na Ali ana platforms zaidi ya 700 including Mkito.com.....kwani bila kiba hiyo blogu haiwezi ku survive??Unafikiri wasafi.com ikianza kutajirisha wasanii kuna ambaye hataweka kazi zake mule? Sio lazma coz wao ni two rivals
Kama anazo 700 alaf boya boya bado hana hela basi mziki wake hauuzi..platform 700 then maisha yake vry normal watu wanaplatform hata 3 hazifiki na ni matajiriPlatforms za kuuzia muziki na kuwapatia pesa wasanii zipo nyingi na Ali ana platforms zaidi ya 700 including Mkito.com.....kwani bila kiba hiyo blogu haiwezi ku survive??
Una uhakika kuwa Ali hana Hela?!Kama anazo 700 alaf boya boya bado hana hela basi mziki wake hauuzi..platform 700 then maisha yake vry normal watu wanaplatform hata 3 hazifiki na ni matajiri
Ahadi ni deni nasubirimkuu unapoint, ila kuna mambo nayafaham siku nikiwa na utayr nitawaeleza watu humu watabaki midomo wazi. kiba anamapungufu yake ila diamond pia anamapungufu yake, na nitakavovieleza hata presenters media fulan wanavijua vizur tena mnoo ila hawawez kusema.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kabla ya bifu alishawahi kuja kula Kwako?!
Duh!!!Kiba anauza mziki wake kwenye online global platforms zaidi ya 700 hawezi kukubali auze nyimbo zake kwenye blogu uchwara ya wasafi
alieanza n kibakuli mnajifanya mmesahau maneno yenu wakat mnatambulisha mwanaWamesahau shombo alizozitoa diamond hapo nyuma
Nyani haoni ....!Wamesahau shombo alizozitoa diamond hapo nyuma
Usipanic.mpumbavu huyu mziki wenywe hajui.Bila bifu na dai atakula wapi?