Kwanini Ali Kiba hataki bifu lake na Diamond liishe?

Kwanini Ali Kiba hataki bifu lake na Diamond liishe?

Pole mwana haha ndio mana nikasema huyu mondi kunakitu anafikiria nw kichwani mwake"
Kumbuka pia anawataka sana Kiba, Baraka De Prince and Lady Jay Dee kwenye Wasafi.com kibiashara so anafanya kama namna flani hiv
Ndio mana alisema anaongea na management yao wapo kwenye mazungumzo
Kumbuka pia kwenye top ten most downloaded songs in mkito 2016 ni Wasanii Jide Baraka na kiba ndio walioongoza so it's big deal to have them in wasafi.com
We kweli umjui Ali.

Yaani Ali akubali kwenda kuweka nyimbo zake kwenye blog ya Dimond?!

Rudi tena usingizini.
 
watu mnaongea kishabi tu bila kufatilia mambo kiundani...
mondi kuna jambo alimfanyia kiba sio la kishikaji na kutokana na kiba nae ana vitabia vya kike kukaa na usuda kwenye mtima ndio bifu kuendelea mpaka sasa
mondi kafanikiwa kimziki na maendeleo mengine kumshinda kiba kwa kiasi flani, lakini walai uyu mondi ana tabia za kiswahili kishenzi kwenye kupata hayo mafanikio yake yote, ila watu awajui maisha ya watu tu, mondi kwa kifupi ni mna.fki
 
Mhhh! Ndugu unaishi Darisalamu kweli? Mi siyajui ya huko hebu nihadithie basi Diamond alianzishaje Bifu, kumbe Babu tale alizima mic mombasa, ilikiwaje? Haya mambo yanasikitisha kweli kweli, kwanini wanafanya hivyo lakini dah!

Lmao [emoji23]
Acha kumsanifu mwenzio vibaya hivo
 
Platforms za kuuzia muziki na kuwapatia pesa wasanii zipo nyingi na Ali ana platforms zaidi ya 700 including Mkito.com.....kwani bila kiba hiyo blogu haiwezi ku survive??
Kama anazo 700 alaf boya boya bado hana hela basi mziki wake hauuzi..platform 700 then maisha yake vry normal watu wanaplatform hata 3 hazifiki na ni matajiri
 
mkuu unapoint, ila kuna mambo nayafaham siku nikiwa na utayr nitawaeleza watu humu watabaki midomo wazi. kiba anamapungufu yake ila diamond pia anamapungufu yake, na nitakavovieleza hata presenters media fulan wanavijua vizur tena mnoo ila hawawez kusema.
Ahadi ni deni nasubiri
 
Mpaka hapo kashajulikana mvaa ngozi ya kondoo mara ooh kipenzi cha mbwa mwenye nyota ya bundi mnuka gundu limejidhalilisha li kibakuli bora linge ficha ujinga bila mondi ungekua kimbiji unafuga mbwa Roho imemuuma rais wa nchi kuongea na rais wa bongo flava [emoji57][emoji57][emoji57]
 
Ali alichokifanya sio kitu kizuri yaani kaonyesha umma kwamba yeye ndio ana bifu na D .kitendo hicho kitamfanya baadhi ya watu wamuone kama ana utoto .coz wengi walijua bifu lipo kwa,mashabiki lakini yeye ka prove kuwa bifu analo yeye nasio linatengenezwa na mashabiki sasa tumeshajua mashabiki wako powered by kiba himself
 
35277040c7242db8368d6a8fdc75117e.jpg
 
Back
Top Bottom