Kwanini Ali Kiba hataki bifu lake na Diamond liishe?

[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]aisee eti mweny nyota ya bundi
 
Sema domo sometimes anatoaga maneno ya shombo, labda jamaa kuna maneno bado yanamuuma, maana domo akianzisha taarabu utakimbia
Hivi diamond na wema walikufanya nini mkuu?
 
UShabiki mwingine ni shida domo si ndio alianza bifu sasa anataka liishe ili iweje .kilichomfanya babu tale azime mic kule mombasa nini .ungekuwa wewe ungelimaliza hilo bifu? Hapo kuna jambo la hatari litakuja kiba usikubali ng'oooo
Hivi do.mo alienda mombasa kwan
 
Kwani alilianzisha yeye?
 
Yeye mwenyewe kachoka tu nyimbi zake hazina kiki kama zamani. Hata skendo za wema tu zinampoteza na mziki wake. So.lazima atafute nyota ya mtu atembelee ndio maana anampigia magoti kiba. Ingawa akina salah ndio walikuwa busy kwa matusi mitandaoni
 
Mond watu washamzoea na ameona kwenye hizi nyimbo zake recently watu wamezichukulia poa tu. So anaogopa kuwa labda ndio anaanguka. Atulie aondoke kwenye frontpages na ushuzi mwingi mara sijui kafanya nn mara sijui nini. Watu wa bongo wanazoea hayo.mambo mwisho wanakuona wa kawaida tu hata umfufue wacko jacko uimbe nae kama ambavyo now hawashtuki anko.magu akitumbua mtu.....washazoea
 
Dai ameona anshuka anatafuta tawi la kushikilia now. Eti ane analalamika wanapata pesa kiduchu ......sio huyu mnaesema mziki umemtajirisha?? Au ndio nae jina lake lilifichwa kwenye ile list ya bashite
 
Sasa likiisha si itakua mwisho wa alikiba[emoji23]
 
UShabiki mwingine ni shida domo si ndio alianza bifu sasa anataka liishe ili iweje .kilichomfanya babu tale azime mic kule mombasa nini .ungekuwa wewe ungelimaliza hilo bifu? Hapo kuna jambo la hatari litakuja kiba usikubali ng'oooo
Mkuu hata uyo babu tale hakueko uko mombasa,inaesemekana aliezima ni mendez lakini napo ni uongo mtupu (kiki),ukweli ni kwamba team alokuja nayo breezy ndio waliomzimia maiki ya kibakuli baada ya kuona anazingua.kwanza alimlazimisha wizkid aanze,ndo yeye afuate alafu kupanda kwa stage anaanza mbwembwe.Kingine dogo bila baba Nillan haendi kama ni mfuatiliaji utajua kwanini,kuna show moja iliandaliwa kenya.Promota akatangaza yupo mondi tu na hawakumtangaza kiba ingawa na yeye alikua anakuja ku-perfom!.Msanii mwenye akili utakubali huu ujinga kweli.Mondi akaperfom masaa yake,kiba akapanda kwa jukwaa watu wanasepa.Trust me there is [HASHTAG]#NoAlikibaWithoutDiamond[/HASHTAG] ndo maana hataki bifu liishe!!
 
Kiba anauza mziki wake kwenye online global platforms zaidi ya 700 hawezi kukubali auze nyimbo zake kwenye blogu uchwara ya wasafi
Kumbe wasafidotcom ni blog!.si kila mtu angemiliki sasa blog ya kuuza muziki.Msifananishe wasafidotcom na vitu vya kijinga kama blog ambazo mtu yeyote anaweza operate!!
 
Dai ameona anshuka anatafuta tawi la kushikilia now. Eti ane analalamika wanapata pesa kiduchu ......sio huyu mnaesema mziki umemtajirisha?? Au ndio nae jina lake lilifichwa kwenye ile list ya bashite
Vipi kuhusu kajiandae na aje remix au kwa kuwa ww ni team kiba hulioni hilo.....ukweli unajulikana kuwa bila beef kiba mziki unamuishia maana wanaomsapoti ni wale anti diamond damu damu
 
UShabiki mwingine ni shida domo si ndio alianza bifu sasa anataka liishe ili iweje .kilichomfanya babu tale azime mic kule mombasa nini .ungekuwa wewe ungelimaliza hilo bifu? Hapo kuna jambo la hatari litakuja kiba usikubali ng'oooo
Babu tale hakuwepo mombasa kwenye show ambayo kiba alizimiwa mic. Tale siku hyo alikuwa dar.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…