Slim5
JF-Expert Member
- Jan 7, 2014
- 28,203
- 37,906
Atakula alikokuwa anakula kabla ya bifbifu likiisha atakula wapi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Atakula alikokuwa anakula kabla ya bifbifu likiisha atakula wapi
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]aisee eti mweny nyota ya bundiMpaka hapo kashajulikana mvaa ngozi ya kondoo mara ooh kipenzi cha mbwa mwenye nyota ya bundi mnuka gundu limejidhalilisha li kibakuli bora linge ficha ujinga bila mondi ungekua kimbiji unafuga mbwa Roho imemuuma rais wa nchi kuongea na rais wa bongo flava [emoji57][emoji57][emoji57]
Kumbe upo mpaka huku?Hongera mama!Umasikini unamsumbua.
Hivi diamond na wema walikufanya nini mkuu?Sema domo sometimes anatoaga maneno ya shombo, labda jamaa kuna maneno bado yanamuuma, maana domo akianzisha taarabu utakimbia
Au vp!!!!!!!mazoea no.@kuharibiana cv.Kiba anakwambia hataki mazoea kabisa.
Hivi do.mo alienda mombasa kwanUShabiki mwingine ni shida domo si ndio alianza bifu sasa anataka liishe ili iweje .kilichomfanya babu tale azime mic kule mombasa nini .ungekuwa wewe ungelimaliza hilo bifu? Hapo kuna jambo la hatari litakuja kiba usikubali ng'oooo
Kwani alilianzisha yeye?Habarini wakuu
Nimetokea kishangaa sana kuona alikiba baada ya diamond kuonekana akizungumza kwamba hana tatzo na kiba nae kiba kaonesha katika mtandao wake wa Instagram kwamba hajaridhia kabisa ili bifu lije liishe..... Ni kwann alikiba hataki liishe kwani annufika kwa kiasi gani na jee inamaanisha hawezi kusonga bila ya bifu!
Yeye mwenyewe kachoka tu nyimbi zake hazina kiki kama zamani. Hata skendo za wema tu zinampoteza na mziki wake. So.lazima atafute nyota ya mtu atembelee ndio maana anampigia magoti kiba. Ingawa akina salah ndio walikuwa busy kwa matusi mitandaoniKatika siku domo kaniuzi basi na leo mpk nimeghafilika kabisa inakuaje unajishusha kiasi icho kwa msanii ambae hata hakufikii kwa level......kaonesha weakness kabisa kwa degree kubwa sana.....mwenzake akihojiwa kuhusu yeye huwa hajibu au atajibu kwa dharau afu lidomo bado linaongea kama lidemu vile Mara oooh cjui sina matatizo na ali Mara cjui nimemjulia Ali kupitia kwa Darling sasa ayo ya nn kwetu.....kajishushia heshima sana leo kumuongelea kiba yaani kaniuziiiiiiiiiiiiiii mpk nahisi kutapika
Mond watu washamzoea na ameona kwenye hizi nyimbo zake recently watu wamezichukulia poa tu. So anaogopa kuwa labda ndio anaanguka. Atulie aondoke kwenye frontpages na ushuzi mwingi mara sijui kafanya nn mara sijui nini. Watu wa bongo wanazoea hayo.mambo mwisho wanakuona wa kawaida tu hata umfufue wacko jacko uimbe nae kama ambavyo now hawashtuki anko.magu akitumbua mtu.....washazoeaIla kuna kitu kiba kakiona kwa Mondi" msishangae Mondi anajiweka sawa kiuwekezaji "financially" analalamika sana kuhusu malipo na wizi wa kazi za wasanii, Ni hiv Mondi anajua kabisa wabongo hua wanatabia yakumzoea mtu hasa anayefanya makubwa na inafika stage watu wanamchoka" au wanaona kawaida hata afanye nn ndio point aliyoko Mondi sahv yani hata atoe collabo na Jay Z stil watu wataona fresh 2..normal yani japo ni "ndoto"
Kama P Funk alivyomshauri juzi EAtv Mondi anatakiwa atake time atengeneze kumisiwa flani na mashabiki hyo ndio itasaidia"
Kiba kashaona hicho kitu ndio mana hataki suluhu maana ataonekana baada ya kupata suluhu ndio katusua zaid bt anataka vle vle kwa kukaza kwake atoboe kwa njia zake.
Kiba ananafasi kubwa sana now. Atumie akili 2 na asikae kae kise afanye kazi haswaa
Sasa likiisha si itakua mwisho wa alikiba[emoji23]Habarini wakuu
Nimetokea kishangaa sana kuona alikiba baada ya diamond kuonekana akizungumza kwamba hana tatzo na kiba nae kiba kaonesha katika mtandao wake wa Instagram kwamba hajaridhia kabisa ili bifu lije liishe..... Ni kwann alikiba hataki liishe kwani annufika kwa kiasi gani na jee inamaanisha hawezi kusonga bila ya bifu!
Mkuu hata uyo babu tale hakueko uko mombasa,inaesemekana aliezima ni mendez lakini napo ni uongo mtupu (kiki),ukweli ni kwamba team alokuja nayo breezy ndio waliomzimia maiki ya kibakuli baada ya kuona anazingua.kwanza alimlazimisha wizkid aanze,ndo yeye afuate alafu kupanda kwa stage anaanza mbwembwe.Kingine dogo bila baba Nillan haendi kama ni mfuatiliaji utajua kwanini,kuna show moja iliandaliwa kenya.Promota akatangaza yupo mondi tu na hawakumtangaza kiba ingawa na yeye alikua anakuja ku-perfom!.Msanii mwenye akili utakubali huu ujinga kweli.Mondi akaperfom masaa yake,kiba akapanda kwa jukwaa watu wanasepa.Trust me there is [HASHTAG]#NoAlikibaWithoutDiamond[/HASHTAG] ndo maana hataki bifu liishe!!UShabiki mwingine ni shida domo si ndio alianza bifu sasa anataka liishe ili iweje .kilichomfanya babu tale azime mic kule mombasa nini .ungekuwa wewe ungelimaliza hilo bifu? Hapo kuna jambo la hatari litakuja kiba usikubali ng'oooo
Kama avatar yako tu!.Teh teh! Bifu tamu eti ohhh.
Kumbe wasafidotcom ni blog!.si kila mtu angemiliki sasa blog ya kuuza muziki.Msifananishe wasafidotcom na vitu vya kijinga kama blog ambazo mtu yeyote anaweza operate!!Kiba anauza mziki wake kwenye online global platforms zaidi ya 700 hawezi kukubali auze nyimbo zake kwenye blogu uchwara ya wasafi
Vipi kuhusu kajiandae na aje remix au kwa kuwa ww ni team kiba hulioni hilo.....ukweli unajulikana kuwa bila beef kiba mziki unamuishia maana wanaomsapoti ni wale anti diamond damu damuDai ameona anshuka anatafuta tawi la kushikilia now. Eti ane analalamika wanapata pesa kiduchu ......sio huyu mnaesema mziki umemtajirisha?? Au ndio nae jina lake lilifichwa kwenye ile list ya bashite
Babu tale hakuwepo mombasa kwenye show ambayo kiba alizimiwa mic. Tale siku hyo alikuwa dar.UShabiki mwingine ni shida domo si ndio alianza bifu sasa anataka liishe ili iweje .kilichomfanya babu tale azime mic kule mombasa nini .ungekuwa wewe ungelimaliza hilo bifu? Hapo kuna jambo la hatari litakuja kiba usikubali ng'oooo
Mwambie!.Tena hadi credit card inatumika wasafidotcom.Kama anazo 700 alaf boya boya bado hana hela basi mziki wake hauuzi..platform 700 then maisha yake vry normal watu wanaplatform hata 3 hazifiki na ni matajiri