Kwanini Ali Kiba hataki bifu lake na Diamond liishe?

Porojo
 
Si wanajisahaulisha. Yani siku zote wanamsema mondi, akiwajibu yeye ndo mbaya na matanga wanaanika. Kama vipi bifu tulibebe tu uyo ali matembo akanyewest
 
Si wanajisahaulisha. Yani siku zote wanamsema mondi, akiwajibu yeye ndo mbaya na matanga wanaanika. Kama vipi bifu tulibebe tu uyo ali matembo akanyewest
..ahahah.!Wakumbushe dadeq,wanapenda kujifanya watakatifu kumbe ushuzi tu!!
 
Hadi wakawa Anti Mond wengi hivyo kuna tatizo mahali
 
Hawa ndio watu wenye interagency kubwa
Big up kwa good points
 
UShabiki mwingine ni shida domo si ndio alianza bifu sasa anataka liishe ili iweje .kilichomfanya babu tale azime mic kule mombasa nini .ungekuwa wewe ungelimaliza hilo bifu? Hapo kuna jambo la hatari litakuja kiba usikubali ng'oooo
Inaoenekana wew hujui kinachoendelea kwenye mziki wa tz usituletee story za vijiwe vya draft na kahawa hapa kwa great thinkers
 
Huyo Alikiba zama zake zipita kitambo sana!

Wanaompaisha ni wale wenye chuki na Diamond..sasa unafikiri akipatana na Diamomd mashabiki wake watatoka wapi?

Diamond ni diamond kama ilivyo diamond..huwezi kumfananisha na mwanamuziki yeyote kwa sasa ndani ya Tanzania!

Alikiba apunguze kiwango chake cha roho ya korosho na aache kujikuza kwasababu kwa sasa Diamond ndio anampa UGALI.
 
Kiba hawezi kusurvive katika game bila kuwa na bifu na mond hawezi kutoa nyimbo kali bila kiki.mond kaona kuwepo na bifu hakumsaidii kaamua aipotezee zaidi anamnufaisha kiba tu,Natamani bifu hii iishe ili tuwapime kwenye kazi zao,nani katoa mkwaju mkali nani ni KIKI master.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…