Mkuu hata uyo babu tale hakueko uko mombasa,inaesemekana aliezima ni mendez lakini napo ni uongo mtupu (kiki),ukweli ni kwamba team alokuja nayo breezy ndio waliomzimia maiki ya kibakuli baada ya kuona anazingua.kwanza alimlazimisha wizkid aanze,ndo yeye afuate alafu kupanda kwa stage anaanza mbwembwe.Kingine dogo bila baba Nillan haendi kama ni mfuatiliaji utajua kwanini,kuna show moja iliandaliwa kenya.Promota akatangaza yupo mondi tu na hawakumtangaza kiba ingawa na yeye alikua anakuja ku-perfom!.Msanii mwenye akili utakubali huu ujinga kweli.Mondi akaperfom masaa yake,kiba akapanda kwa jukwaa watu wanasepa.Trust me there is [HASHTAG]#NoAlikibaWithoutDiamond[/HASHTAG] ndo maana hataki bifu liishe!!