Hance Mtanashati
JF-Expert Member
- Sep 7, 2016
- 20,137
- 26,189
Huo ndio ukweli Kiba anatumia mgongo wa diamond ili na yeye anyanyuke kimziki bila diamond kiba hamna kitu paleHabarini wakuu
Nimetokea kushangaa sana kuona Alikiba baada ya Diamond kuonekana akizungumza kwamba hana tatizo na kiba naye kiba kaonesha katika mtandao wake wa Instagram kwamba hajaridhia kabisa ili bifu lije liishe.....
Ni kwann alikiba hataki liishe kwani annufika kwa kiasi gani na jee inamaanisha hawezi kusonga bila ya bifu!
View attachment 481074
Jamaaa lina roho mbaya sijui kama nini vile chukulia mfano siku ile alipomfungia vioo harmorapa kule airport ila kuna watu bado wanamshabikia huyu mtu