Kwanini Ali Kiba hataki bifu lake na Diamond liishe?

Kwanini Ali Kiba hataki bifu lake na Diamond liishe?

Habarini wakuu
Nimetokea kushangaa sana kuona Alikiba baada ya Diamond kuonekana akizungumza kwamba hana tatizo na kiba naye kiba kaonesha katika mtandao wake wa Instagram kwamba hajaridhia kabisa ili bifu lije liishe.....

Ni kwann alikiba hataki liishe kwani annufika kwa kiasi gani na jee inamaanisha hawezi kusonga bila ya bifu!

View attachment 481074
Huo ndio ukweli Kiba anatumia mgongo wa diamond ili na yeye anyanyuke kimziki bila diamond kiba hamna kitu pale

Jamaaa lina roho mbaya sijui kama nini vile chukulia mfano siku ile alipomfungia vioo harmorapa kule airport ila kuna watu bado wanamshabikia huyu mtu
 
Katika siku domo kaniuzi basi na leo mpk nimeghafilika kabisa inakuaje unajishusha kiasi icho kwa msanii ambae hata hakufikii kwa level......kaonesha weakness kabisa kwa degree kubwa sana.....mwenzake akihojiwa kuhusu yeye huwa hajibu au atajibu kwa dharau afu lidomo bado linaongea kama lidemu vile Mara oooh cjui sina matatizo na ali Mara cjui nimemjulia Ali kupitia kwa Darling sasa ayo ya nn kwetu.....kajishushia heshima sana leo kumuongelea kiba yaani kaniuziiiiiiiiiiiiiii mpk nahisi kutapika
Diamond huwa anamuonea huruma Kiba kama umemuelewa vizuri alimaanisha kuwa yeye lile bifu lililotengenezwa na watu wanaomsimamia kiba aliamua kuigiza kama kuna kabifu kati yao ili walipangalo litimie (yani Kiba arudi kwenye gemu vizuri) sasa basi kwa kuwa kiba amesharudi tayali kwenye gemu na ameshasimama vizuri palipo baki ajiongeze mwenyewe sio tena kumtegemea tu diamond ili ajiimarishe
 
Bifu walikuwa nazo wakina
Tupac mpaka wanatandikana risasi sasa hawa wakina kiba na mondi hata makofi hawajachapana eti wana bifu...acheni longolongo
 
au nme sahau kusoma mbona sioni maamdishi ya bifu apo [emoji15]
 
Nimeona kipande sio vibaya kukaribisha wateja kwake, ndio inabidi awe hivyo kama huyo mmoja hajiungi wasafi.com basi jua anavutia wengine wemgi wajiunge nae bila kuonyesha dharau.

Ametumia akili sana sana, anajua yupo juu ya wote ila imebidi awape nafasi walio chini yake wajiunge.

Akili nzuri sana kusaka pesa, huku anajua yule kiba lazima awe mbishi sababu bila yeye hapati chakula.

Na tunaona kiba hana mbele wala nyuma hadi sasa, tangu 2015 bado anajisukuma.
Are you sure!!?
 
Kama anazo 700 alaf boya boya bado hana hela basi mziki wake hauuzi..platform 700 then maisha yake vry normal watu wanaplatform hata 3 hazifiki na ni matajiri
Ally ana maisha ya kawaida?mwaka jana kwenye raising fun ya GSM ya kuchangia operations za watoto wenye vichwa vikubwa na mgongo wazi alichangia 21M cash!!!!tuache kejeli jamani then tuwaache waishi maisha yao.
 
Diamond ameiva na hiyo ndio maadili ya kazi. Alikiba ana "ego" itakayomwacha nyuma. Alikiba ataachwa hata na kina rayvan na harmonize asipoangalia.
 
UShabiki mwingine ni shida domo si ndio alianza bifu sasa anataka liishe ili iweje .kilichomfanya babu tale azime mic kule mombasa nini .ungekuwa wewe ungelimaliza hilo bifu? Hapo kuna jambo la hatari litakuja kiba usikubali ng'oooo
Nyie ndio washabiki maandazi msiojielewa, mond alianzaje hilo bifu? Na aliyezima mic mombasa sio ssalam tena ni babu tale? Ukweli ni kwamba huyo kibakuli anajua kwamba bifu likiisha kati yake na mond atapotea kabisaa hatasikika tena kama alivyokuwa amepotea, yeye ndiye aliyeanzisha bifu na ndio mtaji wale
 
Kama alikiba anategemea mgongo wa diamond kufanikiwa basi diamond aache kumuongelea Ali katika page zake za mitandaoni au hata katika interview zake tena kila swali linalohusu Ali asiwe analijibu

Pia diamond awakanye wana team yake wache kumpost au kumuongelea Ali katika kila jambo

Ili tuone je diamond Ana ushawishi gani kwenye muziki wa Ali
 
Nyie ndio washabiki maandazi msiojielewa, mond alianzaje hilo bifu? Na aliyezima mic mombasa sio ssalam tena ni babu tale? Ukweli ni kwamba huyo kibakuli anajua kwamba bifu likiisha kati yake na mond atapotea kabisaa hatasikika tena kama alivyokuwa amepotea, yeye ndiye aliyeanzisha bifu na ndio mtaji wale
Thibitisha ukweli wa maneno yako
 
Anam
Diamond huwa anamuonea huruma Kiba kama umemuelewa vizuri alimaanisha kuwa yeye lile bifu lililotengenezwa na watu wanaomsimamia kiba aliamua kuigiza kama kuna kabifu kati yao ili walipangalo litimie (yani Kiba arudi kwenye gemu vizuri) sasa basi kwa kuwa kiba amesharudi tayali kwenye gemu na ameshasimama vizuri palipo baki ajiongeze mwenyewe sio tena kumtegemea tu diamond ili ajiimarishe
Anamtegemea kivipi? Kupata mahitaji muhimu ama kuimba? Au kusambaza kazi zake?
 
Back
Top Bottom