Kwanini Ali Kiba hataki bifu lake na Diamond liishe?

watu mnaongea kishabi tu bila kufatilia mambo kiundani...
mondi kuna jambo alimfanyia kiba sio la kishikaji na kutokana na kiba nae ana vitabia vya kike kukaa na usuda kwenye mtima ndio bifu kuendelea mpaka sasa
mondi kafanikiwa kimziki na maendeleo mengine kumshinda kiba kwa kiasi flani, lakini walai uyu mondi ana tabia za kiswahili kishenzi kwenye kupata hayo mafanikio yake yote, ila watu awajui maisha ya watu tu, mondi kwa kifupi ni mna.fki
Mondi yeye ata kesho akinunua baiskeli lazima aingie sehem atangaze nimeongeza mali frani ila kiba hanaga mzozo ata media wanahangaika kupata uchambuzi wa mali zake
 
Unafikiri wasafi.com ikianza kutajirisha wasanii kuna ambaye hataweka kazi zake mule? Sio lazma coz wao ni two rivals
Kunawatu hawawezi weka wanavibuli balaa ni sawa na bifu la jide na clz fm ata nyimbo yake hawapigi watu wanashindwaje kuacha kupeleka nyimbo hapo
 
Mondi yeye ata kesho akinunua baiskeli lazima aingie sehem atangaze nimeongeza mali frani ila kiba hanaga mzozo ata media wanahangaika kupata uchambuzi wa mali zake
Kiba masikini tu...
 
Diamond aache kumtaja taja Ali ili tuone kama kweli yeye anahusika katika kuupa kiki muziki wa Ali kama inavyodhaniwa na watu wake

Diamond anyamaze tu. Tuone nani atafeli
 
D
UShabiki mwingine ni shida domo si ndio alianza bifu sasa anataka liishe ili iweje .kilichomfanya babu tale azime mic kule mombasa nini .ungekuwa wewe ungelimaliza hilo bifu? Hapo kuna jambo la hatari litakuja kiba usikubali ng'oooo
iamond alianzaje bifu na Alik Kiba wakati Ali Kiba ndo alianza bifu na Diamond coz alivyorudi kwenye game kama anavyosema,Aliingia kwa Mbwembwe like the king is back..ohoo hakuna msanii mkali kama mimi,ohoo nimepumzika muziki kwa miaka mi3 but nimerudi nimekuta hakuna jipya,ohoo kiti changu hakuna aliyeweza kukikalia nimekuta kina vumbi now nakikung'uta,mfyuu zake Ali Kimba
 
Yaani mashabiki wa diamond mnashangaza hivi tujiulize kipindi alikiba anatamba diamond alikuwa anafanya nini?alikiba kipindia anaimba alishindanishwa na wasanii Wangapi?labda wengine redio mlikuwa hamna au mlikuwa wadogo kwa taarifa zenu hawa ni baadhi ya wasanii ambao alikiba alipambanishwa nao(marlaw,belle9,diamond,barnaba n.k)kipindi alikiba alimtegemea nani kuhit?au tuangalia uimbaji kati ya alikiba na diamond nani ana nyimbo nzuri,alikiba anaamini ktk kuimba zaidi kuliko kitu chochote ndo maana mwenye hapendi kuweka maisha yake ktk mziki wake.Kama wewe ni shabiki kweli wa mziki wa bongo fleva nitajie nyimbo nzuri za diamond hata kolabo ambazo zitaingia kwa nyimbo hizi
Alikiba-cindelera
Alikiba-nakshi mrembo
Alikiba-macmuga
Alikiba mapenzi yanarun dunia
A liminal single boy
Alikiba-dushelele
Alikiba-njiwa
Alikiba-nichumu
Alikiba-msela
Alikiba-maumivu
Alikiba-aje
Alikiba-chekecha
Alikiba-mwana
Alikiba-dunia shamba
Alikiba-farawey
N.Balikiba album yake ya Cinderella ndio iliuza mauzo makubwa na kufikia rekodi ya platnam.Hapa nasikiliza ngoma la dochi ft alikiba imani
 
Wakikujibu nistue mkuu.
 
We mnyoa kiduku mapato anayolipa kiba ni ya chumba alichopanga Tandale huko.
Acha kumpa sifa za kijinga.
Tandale ya wapi anaishi katuletee picha ya huko alipo panga [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
 
Yaani mashabiki wa diamond mnashangaza hivi tujiulize kipindi alikiba anatamba diamond alikuwa anafanya nini?alikiba kipindia anaimba alishindanishwa na wasanii Wangapi?labda wengine redio mlikuwa hamna au mlikuwa wadogo kwa taarifa zenu hawa ni baadhi ya wasanii ambao alikiba alipambanishwa nao(marlaw,belle9,diamond,barnaba n.k)kipindi alikiba alimtegemea nani kuhit?au tuangalia uimbaji kati ya alikiba na diamond nani ana nyimbo nzuri,alikiba anaamini ktk kuimba zaidi kuliko kitu chochote ndo maana mwenye hapendi kuweka maisha yake ktk mziki wake.Kama wewe ni shabiki kweli wa mziki wa bongo fleva nitajie nyimbo nzuri za diamond hata kolabo ambazo zitaingia kwa nyimbo hizi
Alikiba-cindelera
Alikiba-nakshi mrembo
Alikiba-macmuga
Alikiba mapenzi yanarun dunia
A liminal single boy
Alikiba-dushelele
Alikiba-njiwa
Alikiba-nichumu
Alikiba-msela
Alikiba-maumivu
Alikiba-aje
Alikiba-chekecha
Alikiba-mwana
Alikiba-dunia shamba
Alikiba-farawey
N.Balikiba album yake ya Cinderella ndio iliuza mauzo makubwa na kufikia rekodi ya platnam.Hapa nasikiliza ngoma la dochi ft alikiba imani
Embu kunywa soda nakuja apo
 
Kwani izi zilikua nyimbo za Aly nilijua kaimbaga nan thjui uko msituni
[emoji56] [emoji56]
 
Izo kumbe nazo ni nyimbo za bongo flava mm nilifikili kaswida
 
Unajielewa au umeamua kujitoa ufahamu ili nawe uonekane mchambuzi mahiri wa Kibakuli.
Labda umeeangalia vigezo vipi kwamba hizo nyimbo ni kali na zinakubalika kwa ulimwengu wa muziki duniani. Kwa taarifa yako sijui kama kiba ataenda kutoa video na Godfather, Jiulize kwanini jibu lipo kwa wimbo wake wa Mwana.Mi hakuna wimbo hata m1 ambao nimeukubali wa kiba even if mnasema ana sauti nzuri hivi,Wizkidayo ana sauti nzuri? Au bara afrika ye ndo mwenye sauti nzuri? Sijawahi sikia nchi za wenzetu msanii wa kiume kusifia sauti haya nayaona bongo tu.
 
Ebu ficha utahira wako weka nyimbo za diamond za kufananishwa na hizo,alafu nyimbo hizo ndo zilimfanya alikiba ashiriki (one8project).Acha kujitoa ufahamu kuna siku alikiba alisema anaringia sauti nzuri kila mtu anajivunia kitu ambacho Mungu amemjalia.From no where tu unasema alikiba anategemea mgongo wa diamond alikiba ana kipaji ukitaka kujua huyu kuimbe ni fundi sikiliza hata nyimbo alizoshirikishwa
 
We ndo huelewi nilijua tu timukiba lazima mukimbilie kwa R.Kelly
 
Back
Top Bottom