Yaani mashabiki wa diamond mnashangaza hivi tujiulize kipindi alikiba anatamba diamond alikuwa anafanya nini?alikiba kipindia anaimba alishindanishwa na wasanii Wangapi?labda wengine redio mlikuwa hamna au mlikuwa wadogo kwa taarifa zenu hawa ni baadhi ya wasanii ambao alikiba alipambanishwa nao(marlaw,belle9,diamond,barnaba n.k)kipindi alikiba alimtegemea nani kuhit?au tuangalia uimbaji kati ya alikiba na diamond nani ana nyimbo nzuri,alikiba anaamini ktk kuimba zaidi kuliko kitu chochote ndo maana mwenye hapendi kuweka maisha yake ktk mziki wake.Kama wewe ni shabiki kweli wa mziki wa bongo fleva nitajie nyimbo nzuri za diamond hata kolabo ambazo zitaingia kwa nyimbo hizi
Alikiba-cindelera
Alikiba-nakshi mrembo
Alikiba-macmuga
Alikiba mapenzi yanarun dunia
A liminal single boy
Alikiba-dushelele
Alikiba-njiwa
Alikiba-nichumu
Alikiba-msela
Alikiba-maumivu
Alikiba-aje
Alikiba-chekecha
Alikiba-mwana
Alikiba-dunia shamba
Alikiba-farawey
N.Balikiba album yake ya Cinderella ndio iliuza mauzo makubwa na kufikia rekodi ya platnam.Hapa nasikiliza ngoma la dochi ft alikiba imani