Kwanini Ali Kiba hatoi ngoma?

Kwanini Ali Kiba hatoi ngoma?

Singida ndio home

JF-Expert Member
Joined
Feb 23, 2012
Posts
3,188
Reaction score
3,370
Ukisikia mtu anajiharibia basi kiba ni moja wapo, samaki akivuliwa huwa anakunjwa mapema wakati bado mbichi.

Sijui ni kwamba kawa kimya kwasababu amempoteza master mind Ruge, au ni kwavile kakimbiwa na mke wake aliechukia mrundikano wa ndugu nyumba wanayoishi, au anataka kurudia kupiga mbizi kama 2010 na akaibuka upya 2015.
 
kwani mdau ngoma zote alizonazo hazitoshi wewe kusikiliza hadi atoe zingne?

Mbona kuna wasanii kibao tu hawatoi ngoma mpya na bado tunasolikiliza walizotoa zamani!
 
Kwani nyimbo Aslay x kiba hukuisikia ww fuatilia kitu usipende kusikia sikia maneno maneno ya watu ukaamini.
 
Kwani ngoma inatoka siku hizi? Inamaana akitoa ngoma so atabaki na malaria au????

Wewe ngoma, hebu toka huko kwa kiba aisee.
 
Ukisikia mtu anajiharibia basi kiba ni moja wapo, samaki akivuliwa huwa anakunjwa mapema wakati bado mbichi.

Sijui ni kwamba kawa kimya kwasababu amempoteza master mind Ruge, au ni kwavile kakimbiwa na mke wake aliechukia mrundikano wa ndugu nyumba wanayoishi, au anataka kurudia kupiga mbizi kama 2010 na akaibuka upya 2015.
Kama ni kweli, huyo hafai kuwa mke, japo hiyo tabia ya ndugu sio nzuri kama hamna sababu maalum
Huyu mwana ni muongo [emoji23][emoji23] wapi kiba alisema wameachana na mke wake? Hv hizi taarifa mnatoaga wapi nyie mwenyewe mke ajasema ww ni nani kwa Alikiba labda?
 
Huyu mwana ni muongo [emoji23][emoji23] wapi kiba alisema wameachana na mke wake? Hv hizi taarifa mnatoaga wapi nyie mwenyewe mke ajasema ww ni nani kwa Alikiba labda?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Acha tu tule ubuyu wa bure hapa mjni
 
Back
Top Bottom