Singida ndio home
JF-Expert Member
- Feb 23, 2012
- 3,188
- 3,370
Ukisikia mtu anajiharibia basi kiba ni moja wapo, samaki akivuliwa huwa anakunjwa mapema wakati bado mbichi.
Sijui ni kwamba kawa kimya kwasababu amempoteza master mind Ruge, au ni kwavile kakimbiwa na mke wake aliechukia mrundikano wa ndugu nyumba wanayoishi, au anataka kurudia kupiga mbizi kama 2010 na akaibuka upya 2015.