Kwanini Ali Kiba hatoi ngoma?

Kwanini Ali Kiba hatoi ngoma?

Kumbe kiba tayari kashaachana na mke wake mkuu
 
Kanyang'anywa kalamu yake na Diamond,
 
kwa hali ilivyo kiba anaweza asitoe ngoma miaka miwili stil kuna watu watamtaja tu.
 
kwani mdau ngoma zote alizonazo hazitoshi wewe kusikiliza hadi atoe zingne?

Mbona kuna wasanii kibao tu hawatoi ngoma mpya na bado tunasolikiliza walizotoa zamani!
Ukiona mtu wa ivo kwanza ni loser, hana pesa, hayuko bize, kwaiyo kazi alonayo ni kufuatilia flani kafikia wapi, flan kashuka, sjui kanunua gari baya,aaghhhrr
 
Back
Top Bottom