Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Maneno ya Haters tuKumbe kiba tayari kashaachana na mke wake mkuu
Ukiona mtu wa ivo kwanza ni loser, hana pesa, hayuko bize, kwaiyo kazi alonayo ni kufuatilia flani kafikia wapi, flan kashuka, sjui kanunua gari baya,aaghhhrrkwani mdau ngoma zote alizonazo hazitoshi wewe kusikiliza hadi atoe zingne?
Mbona kuna wasanii kibao tu hawatoi ngoma mpya na bado tunasolikiliza walizotoa zamani!
Ana ngoma kibao tu mbona.
ndugu yetu hapendi show off anazisikiliza mwenyewe akiwa na wanae kwenye sabufa yake nyumani