Kwanini Ali Kiba kaanza kukamata pesa ndefu tangu zamani lakini bado sio tajiri?

Kwanini Ali Kiba kaanza kukamata pesa ndefu tangu zamani lakini bado sio tajiri?

South Africa ipi??? Diamond mwenyewe hamfikii Somizi kwa pesa, lol. Unachekesha sana wee, hapa sio FB.
Hahaha mm syo mpenzi wa miziki hii
Ila kiukweli kwa bongo hakuna msanii anaye mgusa hiyu mtoto kutoka tandale

Ova
 
South Africa ipi??? Diamond mwenyewe hamfikii Somizi kwa pesa, lol. Unachekesha sana wee, hapa sio FB.
Somizi tajiri Sana. Nilimwona huruma ndoa yake ilipovunjika. Yule mohale alifata pesa
 
Hizi show off ndo zinawafanya wasanii wakiumwa watu wadharau kuwachangia kwasababu ya kujionyesha au kushindana na watu.
 
Kinachomponza kiba ni kujiweka low key yani yupo local kinoma anayebisha aje sanene Tabata kuna uwanja unaitwa bernabeu tupo nae tunacheza nae mpira ..mara ya kwanza nikawa namshangaa baada ya kumzoea ndio nikajua kiwa uyu mwamba ndio maisha aliyoyachagua ..all in all jamaa hela anayo sema ndio ivyo apendi show off[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ali hela anayo ila mnawakosea sana wasanii wa bongo kutaka walingane na Diamond.

Mkiweka kipimo cha Diamond kuwa ndio kuwa na pesa kwa msanii basi hata wasanii wakubwa tu wa South Africa na Nigeria mtasema hawana pesa.

Bado kidogo mumfilisi Harmonize kwa madeni baada ya kuanza kukopa hela ili ashindane na Diamond mwisho akachemka ameacha siku hizi.

Diamond ni lidude likubwa zaidi ya media income yake kwa mwezi ni hatari tupu.
harmonize anafanya kaka mond,na ameshatoboa.

kama anakopesheka kiasi hicho basi kayapatia maisha.
 
Back
Top Bottom