davejillaonecka
JF-Expert Member
- Oct 17, 2018
- 697
- 749
Hahaha kuna mmoja nimemiona hapo juu ameipiga kwa angle ngumu amepata ukakasi kwa tabu kweli kwel..πππWatakuja mashabiki wa alikiba hapa wakwambie alikba n tajiri kuliko mondi ila hapendi show off
Hahaha mm syo mpenzi wa miziki hiiSouth Africa ipi??? Diamond mwenyewe hamfikii Somizi kwa pesa, lol. Unachekesha sana wee, hapa sio FB.
Somizi tajiri Sana. Nilimwona huruma ndoa yake ilipovunjika. Yule mohale alifata pesaSouth Africa ipi??? Diamond mwenyewe hamfikii Somizi kwa pesa, lol. Unachekesha sana wee, hapa sio FB.
harmonize anafanya kaka mond,na ameshatoboa.Ali hela anayo ila mnawakosea sana wasanii wa bongo kutaka walingane na Diamond.
Mkiweka kipimo cha Diamond kuwa ndio kuwa na pesa kwa msanii basi hata wasanii wakubwa tu wa South Africa na Nigeria mtasema hawana pesa.
Bado kidogo mumfilisi Harmonize kwa madeni baada ya kuanza kukopa hela ili ashindane na Diamond mwisho akachemka ameacha siku hizi.
Diamond ni lidude likubwa zaidi ya media income yake kwa mwezi ni hatari tupu.