Kwanini all of a sudden punyeto imekuwa focal point katika mijadala ya vijana

Kwanini all of a sudden punyeto imekuwa focal point katika mijadala ya vijana

Wanaume mnapenda kelele kwenye vitu vidogo vidogo, hii ishu utakuta wanawake ndio wanaongoza ligi ya punyeto ila aaaah kimya wala hauwasikii.

nyie sasa kina kikono mkwea mnazi......
Mbona iko wazi, kule tiktok wanajianika kabisa! Ni wengi mno..
 
Haifanyiki kwa bahati mbaya, ni project hiyo
sasa najiuliza ni kuwa imekuwwa janga kubwa kupelekea kufanya addiction isioelezeka ama nini

Kla ssehemu mtu analalamika kuhusu punyeto imeaathiri maisha yake
 
Back
Top Bottom