Kwanini Allah ni "he" kama hafanani au hafananishwi na kitu chochote?

Kwanini Allah ni "he" kama hafanani au hafananishwi na kitu chochote?

Yoda

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2018
Posts
64,960
Reaction score
111,265
“If Allah finds goodness in your hearts, He will give you better.”
— Al Qur’aan 8:70

He ni utambulisho wa jinsia ya kiume!
 
Simfahamu, majibu niliyokupa ni kwa mujibu wa biblia ambapo nilifanikiwa kumsoma akiongelewa na kuelezewa huko.
Mtunzi wa kitabu cha Biblia unamjua anaitwa nani?
 
Kingine kikubwa zaidi wanaomuamini hawajajua kama kwamba bado alaha hawezi kila kitu.

I mean kuna vitu kabisa hawezi kuvifanya,ni kusema wengine wanaposema Mungu anaweza kila kitu yeye kuna vitu haviwezi.
 
Hawezi kukuchungulia?
 
One of the idiot got viral.
Huyu Allah ili umwamini unapaswa kuwa na kautahira kidogo.
Huyu Allah ni mungu aliyezuka miaka 1500 iliyopita kuzima moto wa Yesu.
Hataweza kuuzima bali utamuunguza tu hana namna
 
Back
Top Bottom