Uzi umekaa kikafiri sana....
Ila na mimi naomba niulize swali tu..
Kwanini dua ya kutoka chooni ndgu zangu katika imani tunakua tunaomba msamaha WHY...
Kwani kwnda haja ni kosa mpaka kuomba msamaha au kuna shida gani ..?
Namuamini Mungu...
Yupo,,
Hakuzaa wala hakuzaliwa..
Hana mtoto wala hana baba...
Kuhusu kutumia jina la (He) hyo sio naomba nielekez kitu..
Unajua Mungu ni mwenye ujuzi mwingi sana sana.. angalia neno He
He inamaanisha kuwa Mungu ni uhai yaan He maana yake helium.
Kiibrania He inasomeka YAKUZ ikimanisha YA ni mkuu
KU ni Muumba
Z ni Mbingu na Ardhi...
Kwa pamoja baada ya kushindwa kutumia YAKUZ wakaona watumie He kwa mana ni mkuu muumba mbingu na ardhi..
Unaweza kusema tunarudi pale pale ila hapana
Ikaja na YAKUZ hii tatoa maana badae