Mungu ni MAMA"Na tumuumbe mtu kwa mfano wetu na kwa sura yetu......... Akamuumba mtu MUME..."
Ninachowaza mimi ni hicho
Si baba wala si mama.... Simply kwa sababu sina ushahidi wowote wa kumuona ama kumsikiaMungu ni MAMA
Unakataa au unakubari?
Kwa hio wewe unafikiri Mungu ni nani?Si baba wala si mama.... Simply kwa sababu sina ushahidi wowote wa kumuona ama kumsikia
"Hapo mwanzo kulikuwapo Neno naye Neno alikuwapo kwa Mungu naye Neno alikuwa Mungu. Wala pasipo yeye hakikufanyika chochote..."Kwa hio wewe unafikiri Mungu ni nani?
Kwa hio Mungu ni nani?"Hapo mwanzo kulikuwapo Neno naye Neno alikuwapo kwa Mungu naye Neno alikuwa Mungu. Wala pasipo yeye hakikufanyika chochote..."
Hata god wanatumia he“If Allah finds goodness in your hearts, He will give you better.”
— Al Qur’aan 8:70
He ni utambulisho wa jinsia ya kiume!
Simfahamu, majibu niliyokupa ni kwa mujibu wa biblia ambapo nilifanikiwa kumsoma akiongelewa na kuelezewa huko.Kwa hio Mungu ni nani?
umesoma kitabu gani hicho?“If Allah finds goodness in your hearts, He will give you better.”
— Al Qur’aan 8:70
He ni utambulisho wa jinsia ya kiume!
Mtunzi wa kitabu cha Biblia unamjua anaitwa nani?Simfahamu, majibu niliyokupa ni kwa mujibu wa biblia ambapo nilifanikiwa kumsoma akiongelewa na kuelezewa huko.
Hapo ni She hakuna He mwambie aangalie vizuriumesoma kitabu gani hicho?
Hawezi kukuchungulia?Kingine kikubwa zaidi wanaomuamini hawajajua kama kwamba bado alaha hawezi kila kitu.
I mean kuna vitu kabisa hawezi kuvifanya,ni kusema wengine wanaposema Mungu anaweza kila kitu yeye kuna vitu haviwezi.
Mungu baba“If Allah finds goodness in your hearts, He will give you better.”
— Al Qur’aan 8:70
He ni utambulisho wa jinsia ya kiume!