Kwanini Amiri Jeshi Mkuu, Rais Samia Suluhu hakuvaa sare za Jeshi wakati akiwatunuku kamisheni wanajeshi?

Shocker

JF-Expert Member
Joined
Sep 15, 2012
Posts
1,958
Reaction score
3,890
Nilikaa kusubiri juzi nilitarajia Rais Samia atavalia mavazi rasmi ya Kijeshi nilisubiri alipotokeza nikazani ni yule Rais nunda wa Korea ,kumbe ni yeyye,nikajisemea leo ni mambo ya Kijeshi na yeye sasa sikujua anahudhuria ile kama Rais au Amiri jeshi Mkuu wa Majeshi ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ,kwanini hakuvaa magwanda?
 
Sio lazima. Mkuu wa nchi anaishi anavyotaka. si kwa matakwa ya watu fulani
 
Wewe na huo ujanja wako una nn?hiiiii eti mshamba mwenzako alipambana akatengeneza maisha mpaka ya watoto wa vitukuu vyake unamuita mshamba Wewe na ujanja wako nani mshamba hapo?
 
Karibu Marais wote ambao ni maamri Jeshi Wakuu kwa nchi zao huvaa kijeshi ikiwapendeza, sio Africa tuu, hata kwingine.
 
Mkapa, Nyerere, Mwinyi jJKtu ndio sikumuona
 
Nyerere alikuwa anavaa uniform za mgambo!
 
Umazaliwa mwaka gani?
 
Wewe na huo ujanja wako una nn?hiiiii eti mshamba mwenzako alipambana akatengeneza maisha mpaka ya watoto wa vitukuu vyake unamuita mshamba Wewe na ujanja wako nani mshamba hapo?
Danganya wapumbafu wenzio, Mwendazake alitengemnza maisha ya wanaye na wanakijiji chake cha Chato tu.

Kwa Watanzania wengine wote kawarudisha nyuma miaka 20 kiuchumi
 
Cc dmkali
 
Kwa imani yake ya kiislam haruhusiwi. Magwanda ya Kijeshi siyo Sunna.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…