ras jeff kapita
JF-Expert Member
- Jan 4, 2015
- 22,152
- 33,899
Ww kapuku una nini cha maana zaidi ya kushinda mitandaoni kuwanga na kalio!!???Rais gani mwingine aliwahi kuvaa uniform za jeshi kwenye shughuli kama ile zaidi ya yule aliyekuwa anajifanya mjuaji wa kila kitu kwahiyo mnataka aige kila kilichofanywa na huyo mtu wenu , mkae mkijua mtu wenu alikuwa mshamba na asiyejiamini yaani ni limbukeni.
unamuita mwenzio mshamba mtu aluyekuwa president.......
duniani kuna maajabu