Kwanini Amiri Jeshi Mkuu, Rais Samia Suluhu hakuvaa sare za Jeshi wakati akiwatunuku kamisheni wanajeshi?

Kwanini Amiri Jeshi Mkuu, Rais Samia Suluhu hakuvaa sare za Jeshi wakati akiwatunuku kamisheni wanajeshi?

Rais anatakiwa kufuata katiba, si kama anavyotaka tuu. Ila ishu ya mavazi habanwi. Hayo ya kijeshi ni utashi wa mtu
hata kama anafuata katiba. mengine yote yako under her commands. is why sio lazima avae gwanda za jeshi.
 
Wewe na huo ujanja wako una nn?hiiiii eti mshamba mwenzako alipambana akatengeneza maisha mpaka ya watoto wa vitukuu vyake unamuita mshamba Wewe na ujanja wako nani mshamba hapo?
Hata mshamba kuna maeneo yake anakuwa mjanja, ila kwa lile la kuvaa nguo za jeshi ulikuwa ni bonge la ushamba!!wa kukurupuka!!siku ya kwanza kuvaa kule monduli ilikuwa ni kituko, inawezekanaje AMIRI mkuu wa majeshi alivaa uniform ambao haina hata cheo chochote?!!watu wakasema mataga wakajitahidi kutetea lakini wapi, baadaye ndio wakampa yenye cheo!!kwenye mambo mengi jamaa alikuwa mshambaa sanaaa!!
 
Ha ha ha,najua pia alikuwa anafanya utani

Sasa utani gani huo kiongoz mkubwa kama yule anaingiza mambo ya KUPANULIWA Tena??!!
Hii ni Tanzania Mkuu hayo ndo maisha yetu bila kujali nafasi tulizonazo katika jamii huwa tunataniana kwa kila jambo na ndo raha ya maisha, Watu wengine hutushangaa sana, Ukifanya kazi na mkenya ndo utajua kuwa si tunazidi sana yaani tupo kazini lakin jokes kama zote, sometime hadi kwenye hatari bado tunataniana tu

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Kazi kubwa aliyoifanya ni ukatili, kudhulumu,kuwabeza watu,kuwasimanga watu na kukashifu watu yaani kwa kifupi alikuwa na roho mbaya motoni ndio yatakuwa makazi ya milele.
Dah!!!,Wewe jamaa, Mbona umekuwa na hasira naye Sana,alikufanyia ubaya gani??.

Sent from my Infinix X688C using JamiiForums mobile app
 
Nilikaa kusubiri juzi nilitarajia Raisi Samia atavalia mavazi rasmi ya Kijeshi nilisubir alipotokeza nikazani ni yule Raisi Nunda wa Korea ,kumbe ni yeyye,nikajisemea leo ni mambo ya Kijeshi na yeye sasa sikujua anahudhuria ile kama Raisi au Amiri jeshi Mkuu wa Majeshi ya Serikali Ya Jamhuri ya Muungano yaTz ,kwa nini hakuvaa magwanda?
Kuna kitu unataka watu wakijadili sema umetumia code
 
Kivipi??.Kwa kujenga Madaraja?, kujenga Sgr?, kujenga bwawa la umeme la Nyerere?, kununua ndege?, kujenga barabara?,kusambaza maji vijijini?, kujenga flyover??.

Sent from my Infinix X688C using JamiiForums mobile app
Kwa kuteka watu, kuwaua, kuwatia magerezani, kuminya uhuru wa habari, kueneza chuki za kikabila na kikanda, ubaguzi wa kisiasa, roho mbaya, chuki, ukatili dhidi ya binaadam, ujambaz wa pesa za umma, matumizi mabaya ya madaraka, kuwadhalilisha wanamama na kauli za ngono ngono, yani yule jizi anatakiwa atengenezewe moto wa peke yake huko anapoungua na moto sasa hivi
 
Rais Samia hana mambo ya show off.
Lini uliwahi kumuona mh Kikwete amevaa kombati za jeshi wakati wa kipindi chake cha urais?


Pamoja na kwamba mh Kikwete ni ex-sodier?
Hapo umeongea mkuu,mwinyi,mkapa ,kanali kikwete Hawa wote walikuwa Amiri mkuu kwa kipindi Cha miaka kumi na hawakuwahi kuonekana na combat hata siku moja,hata Mwalimu JKN ukiachilia kipindi kile Cha Vita ya kagera ambapo occasionally alipiga combat hakuwa anaendekeza kuvaa combat.
 
Back
Top Bottom