Nilikaa kusubiri juzi nilitarajia Raisi Samia atavalia mavazi rasmi ya Kijeshi nilisubir alipotokeza nikazani ni yule Raisi Nunda wa Korea ,kumbe ni yeyye,nikajisemea leo ni mambo ya Kijeshi na yeye sasa sikujua anahudhuria ile kama Raisi au Amiri jeshi Mkuu wa Majeshi ya Serikali Ya Jamhuri ya Muungano yaTz ,kwa nini hakuvaa magwanda ??
Japo kwenye sikuku ya Eid avalie hayo magwanda tupige nae picha wakati tnaenda kupokeamkono wa eid. hebu avae tumuone ! Turizike tu ,mana sijaamini kama Mkuu wetu wa majeshi pia ni mwananke.