Kweli ukimiliki media unamiliki na akili za watu jamaa alikuwa anajua lazima rais avae magwanda kisa Magufuli alikuwa anavaa.
... kweli jiwe alipoteza watu; hizi id's sijui zilipotelea wapi. Nje kumekuwa shwari sasa kila mmoja anatoka shimoni. Juzi Faiza naye kaonekana!Avae kwani yeye mwanajeshi au unafikiri ana akili ndogo kama watawala wangine wa kiafrica?
Kila mtawala africa lazima avae gwanda au upewe uDr.
Sasa Sheikh unataka mama avae mavazi ya kijeshi mwezi huu wa Ramadhani? Au ndo mna ajenda ya kumuona mama akiwa ndani ya suruali? Atajisitiri vipi kichwa chake ndani ya lile vazi?Nilikaa kusubiri juzi nilitarajia Raisi Samia atavalia mavazi rasmi ya Kijeshi nilisubir alipotokeza nikazani ni yule Raisi Nunda wa Korea ,kumbe ni yeyye,nikajisemea leo ni mambo ya Kijeshi na yeye sasa sikujua anahudhuria ile kama Raisi au Amiri jeshi Mkuu wa Majeshi ya Serikali Ya Jamhuri ya Muungano yaTz ,kwa nini hakuvaa magwanda ??
Japo kwenye sikuku ya Eid avalie hayo magwanda tupige nae picha wakati tnaenda kupokeamkono wa eid. hebu avae tumuone ! Turizike tu ,mana sijaamini kama Mkuu wetu wa majeshi pia ni mwananke.
Rais Samia hana mambo ya show off.Nilikaa kusubiri juzi nilitarajia Raisi Samia atavalia mavazi rasmi ya Kijeshi nilisubir alipotokeza nikazani ni yule Raisi Nunda wa Korea ,kumbe ni yeyye,nikajisemea leo ni mambo ya Kijeshi na yeye sasa sikujua anahudhuria ile kama Raisi au Amiri jeshi Mkuu wa Majeshi ya Serikali Ya Jamhuri ya Muungano yaTz ,kwa nini hakuvaa magwanda ??
Japo kwenye sikuku ya Eid avalie hayo magwanda tupige nae picha wakati tnaenda kupokeamkono wa eid. hebu avae tumuone ! Turizike tu ,mana sijaamini kama Mkuu wetu wa majeshi pia ni mwananke.
Imekwisha hiyooooooNilikaa kusubiri juzi nilitarajia Raisi Samia atavalia mavazi rasmi ya Kijeshi nilisubir alipotokeza nikazani ni yule Raisi Nunda wa Korea ,kumbe ni yeyye,nikajisemea leo ni mambo ya Kijeshi na yeye sasa sikujua anahudhuria ile kama Raisi au Amiri jeshi Mkuu wa Majeshi ya Serikali Ya Jamhuri ya Muungano yaTz ,kwa nini hakuvaa magwanda ??
Japo kwenye sikuku ya Eid avalie hayo magwanda tupige nae picha wakati tnaenda kupokeamkono wa eid. hebu avae tumuone ! Turizike tu ,mana sijaamini kama Mkuu wetu wa majeshi pia ni mwananke.
Tunaongelea TanzaniaKaribu Marais wote ambao ni maamri Jeshi Wakuu kwa nchi zao huvaa kijeshi ikiwapendeza, sio Africa tuu, hata kwingine.
Tunaongelea combat za tpdf.Nyerere alikuwa anavaa uniform za mgambo!
Jibu zuri sanaKuhusu Nyerere kama alivaa huko nyuma na hasa kutokana na harakati zake za kuwaunga mkono wapigania uhuru wengine wa Afrika lakini kuanzia Mwinyi,Mkapa na Jk hakuna wakati wowote kwenye tukio lolote wamewahi kuvaa Combat.
Ubarikiwe sana kwa mchango wenye maanaJK amewahi kuwa mwanajeshi, hivyo hakuwa na ushamba wa hizo uniform
Amnaa, lipo koti sana yakitumiwa na Adolf ata ile nguo alivaa juzi nilizani ni lile koti hata yule wa Korea Nunda huvaaga sana koti la kijeshilinafanana na yale ya umvua.Sasa Sheikh unataka mama avae mavazi ya kijeshi mwezi huu wa Ramadhani? Au ndo mna ajenda ya kumuona mama akiwa ndani ya suruali? Atajisitiri vipi kichwa chake ndani ya lile vazi?
Wajinga hawajui kwa nini na wapi Raisi anatakiwa kuvaa uniform za Amiri jeshi.Kuhusu Nyerere kama alivaa huko nyuma na hasa kutokana na harakati zake za kuwaunga mkono wapigania uhuru wengine wa Afrika lakini kuanzia Mwinyi,Mkapa na Jk hakuna wakati wowote kwenye tukio lolote wamewahi kuvaa Combat.
Waliokubali kuitwa wanyonge tayari alisha wamiliki kuanzia akili hadi kipato.Kweli ukimiliki media unamiliki na akili za watu jamaa alikuwa anajua lazima rais avae magwanda kisa Magufuli alikuwa anavaa.
Naona msumari wa moto umekuchomaUmeandika uchafu.
You nailed it. Huku Morogoro wa hivo tunamuita GOROKORais gani mwingine aliwahi kuvaa uniform za jeshi kwenye shughuli kama ile zaidi ya yule aliyekuwa anajifanya mjuaji wa kila kitu kwahiyo mnataka aige kila kilichofanywa na huyo mtu wenu , mkae mkijua mtu wenu alikuwa mshamba na asiyejiamini yaani ni limbukeni.
Tulidhani kifo chake kitawaondelea zile stress na kuwafanya muwe na furaha ila wapi.Rais gani mwingine aliwahi kuvaa uniform za jeshi kwenye shughuli kama ile zaidi ya yule aliyekuwa anajifanya mjuaji wa kila kitu kwahiyo mnataka aige kila kilichofanywa na huyo mtu wenu , mkae mkijua mtu wenu alikuwa mshamba na asiyejiamini yaani ni limbukeni.
Na huwezi kuwa mjanja bila kupitia ushamba.JK amewahi kuwa mwanajeshi, hivyo hakuwa na ushamba wa hizo uniform
Atakuwa yuko secondary ameanza kumuona Rais Magufuli.Kweli ukimiliki media unamiliki na akili za watu jamaa alikuwa anajua lazima rais avae magwanda kisa Magufuli alikuwa anavaa.
Hata mwizi,haramia, tapeli au jambazi mwenye mafanikio naye anaweza kuuliza wale walio na maadili, kuwa maadili yao yamewapa nini? Kwa hiyo tujisikie vibaya kuwa na sifa njema kwa sababu wenye sifa za uovu wanafanikiwa? Unaweza kumuonea shetani wivu kwa sababu wewe utakufa na shetani anaendelea kuwepo mwisho wa Dunia?Wewe na huo ujanja wako una nn?hiiiii eti mshamba mwenzako alipambana akatengeneza maisha mpaka ya watoto wa vitukuu vyake unamuita mshamba Wewe na ujanja wako nani mshamba hapo?
Kwahiyo kwa sababu Kikwete havukaa hivyo na Magufuli alitakiwa amgeze Kikwete? sasa si ujinga huo,nina hakika kama sio kujistiri basi Mama Samia angevaa hizo gwanda ili kuonesha kuwa ni Amiri jeshi mkuu pamoja na kuwa ni mwanamke.Rais Samia hana mambo ya show off.
Lini uliwahi kumuona mh Kikwete amevaa kombati za jeshi wakati wa kipindi chake cha urais?
Pamoja na kwamba mh Kikwete ni ex-sodier?
Chini ya serikali ya ccm kama kawaida.Imekwisha hiyoooooo
Sasa hivi tupo awamu ya 6
Rais yupi wa Marekani aliyewahi kuvaa nguo za jeshi? Sana sana wanavaa jacket tu ya air force. Au Ulaya Magharibi ambae anavaa nguo za kijeshi? Wanajua kabisa kuwa Amiri Jeshi Mkuu hakuwafanyi wawe wanajeshi. Ni kama yule waziri wa utalii nae alivyokuwa anapenda kuvaa kombat!Karibu Marais wote ambao ni maamri Jeshi Wakuu kwa nchi zao huvaa kijeshi ikiwapendeza, sio Africa tuu, hata kwingine.